Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

"Wakati tunaelekea kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa tanganyika, jeshi limeandaa gwaride, maonesho ya ndege za kivita, n.k" wananchi mnakaribishwa wote kushiriki
 
Ingekuwa west Africa leo Rais angetafuta hifadhi ila kwa Bongo ukisikia Jeshi wanatoa tamko basi mpaka katibu wa UVCCM anajua linahusu nini
 
Binafsi sijawahi kuona wala kusikia jeshi likitoa taarifa kwa umma kwamba litatoa tamko maalum.
Wananchi wamepatwa na taharuki kubwa sana kufuatia tangazo hili.
Wananchi wa CCM ndo wanaongoza kwa kupatwa na taharuki. Pole kwa wananchi wa CCM na makada zake!!
 
Binafsi sijawahi kuona wala kusikia jeshi likitoa taarifa kwa umma kwamba litatoa tamko maalum.
Wananchi wamepatwa na taharuki kubwa sana kufuatia tangazo hili.

View attachment 2027482
Yalianza wakati wa kikwete, baada ya kuhisi anguko la serekali mwaka 2010 wakati huo shimbo akiwa chief of staff,
 
Ugaidi fake,ruksa ujenzi wa Bagamoyo na matamko ya ovyo ya viongozi na kukosa control kwa dereva ndizo mada wanzoenda kutolea tamko rasmi.

Ingekuwa taarifa nyepesi wangetumia tu kitengo chao cha mawasiliano ya umma na wasingeenda makao yao makuu.

Hili ni tamko maalum kama walivyosema,JWTZ demands changes willingly or unwillingly!
 
Amka ukojoe wewe, usije ukakojoa kitandani!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chama cha mazuzu kikiwa byebye ..
Kama nawaona majangiri ,wauza ngada, mafisadi ,majambazi ,makahaba na waharifu wote walio kuwa nanatumia kadi ya chama cha sisiemu kufanikisha na kutekeleza uhalifu wa aina mbalimbali kwa kivuri cha ukada....wakizitupa jalalani
 
Saa nne ndo hii sasa, tunasubiri update
 
Nataman sana Jeshi lifanye mapinduzi ila ndio hivyo tu
 
Nipo hapa kwenye TV yangu nasubiri Hilo tamko. Sasa ni saa nne na dakika sita. Hakuna kituo chochote ambacho kinaonesha kikao hicho mubashara.
 
na ndo amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya TZ, anapigiwa salute na wakuu wote wa majeshi TZ na ndo mkuu wao, hata hilo tamko hawawezi toa bila ruhusa ya mama.
Kwani General Alsisi wa Misri alipata ruhusa ya Mursi kutoa tamko la kumpindua Mursi?

General Constantino alipata ruhusa ya Mugabe kutoa tamko ya kimshikilia Mugabe?

Acha kukariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…