johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Utakuwa sukuma gang unasali Samia apinduliwe utasubiri sanaView attachment 2027376Ni mara chache Jeshi letu la Wananchi kuja na tamko zito kama hili kunani? Je ni kuhusu ugaidi unawosemwa katika mitandao ya kijamii? ama tuvute subira hadi hiyo kesho saa nne (4) asubuhi kujua ni habari hiyo ya kustua.
Nyie ndo wale mkiona hata kuruta wa JWTZ kapita mtaani kwenu na kibegi chake mnatoka mbio kujifungia ndaniBinafsi sijawahi kuona wala kusikia jeshi likitoa taarifa kwa umma kwamba litatoa tamko maalum.
Wananchi wamepatwa na taharuki kubwa sana kufuatia tangazo hili.
View attachment 2027482
Ngoja nisubiri kwa hamuKwa mujibu wa mtangazaji wa Star tv Aloyce Nyanda ni kwamba kesho JWTZ watafanya mkutano na waandishi wa habari ambapo watatoa Tamko Maalumu.
Source: Star tv The Big Agenda
Makao makuu kwenye anuani ya barua ni ''Dodoma'' alafu ukumbi upo makao makuu ya Jeshi Upanga Dsm what is this? where is Makao makuu ya Jeshi kwa hakika.Binafsi sijawahi kuona wala kusikia jeshi likitoa taarifa kwa umma kwamba litatoa tamko maalum.
Wananchi wamepatwa na taharuki kubwa sana kufuatia tangazo hili.
View attachment 2027482
Makao makuu kwenye anuani ya barua ni ''Dodoma'' alafu ukumbi upo makao makuu ya Jeshi Upanga Dsm what is this? where is Makao makuu ya Jeshi kwa hakika.
Hawa Jamaa mbona wa azidi sana siku hizi... Inatia wasiwasi.Kwa mujibu wa mtangazaji wa Star tv Aloyce Nyanda ni kwamba kesho JWTZ watafanya mkutano na waandishi wa habari ambapo watatoa Tamko Maalumu.
Source: Star tv The Big Agenda