Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Acha kabisa.Aisee mkuu Sanda Ali,hapo umeongea kitu kimoja adhimu sana watu wengi wanakwepa sana hizo discussion lakini ukweli ndio huo.Hilo jambo la CHEATING lipo karibia nyanja zote especially kwa hapa Tz.Na impact kubwa ya cheating huwa ni low quality and poor performance ambayo inaletelezea poor results.
Kila sector hapa Tz ina tatizo hilo ndio maana hatupigi hatua mbele ila tunapiga marktime tu..
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Tanzania Cha muhimu upate kazi, imagine jeshi leo nihangaika kufyatua matofali ndio miradi wanajisifia...Mimi sijadharau bali nimeongea uhalisia.
Nimepiga kozi mbili za kijeshi.
Yaani cheating zipo sana jeshini.
Ndio maana mimi sio kila university graduate ninamuheshimu. Wengi wamefika mpaka university kwa janjajanja. The same kwenye majeshi yetu.
Hivi mtu anayetoa hela ili anunue nafasi jeshini unamweka kundi gani?
Ok.
Jambo jingine fikiria, Private wa Jeshi la wananchi anajua vitu vingapi?
- Anajua kutumia computer?
-Anajua kuendesha convoy za jeshi?
-Anajua kurusha drone za kivita?
-Anajua kuendesha pikipiki?.
Kwa nchi za wenzetu private lazima ajue vitu hivyo huku sisi si wote wanaojua hivyo
Yaani mpaka leo jeshi linaajiri darasa la sabaTanzania Cha muhimu upate kazi, imagine jeshi leo nihangaika kufyatua matofali ndio miradi wanajisifia...
Unakutana afisa wa juu kabisa, Mimi upande wangu alikuwa Mbuge, namuulizia why Jeshi haliwekezi kwenye advanced technologies za kilimo, anajibu na Hawa makuruta watafanya Nini?, Hadi unaanza kujichokea.
Sisi Bado tuna jeshi la kale sana... Nadhani we need a program kubadili kabisa jeshi letu na kuweka kipindi Cha miaka kadhaa wanaoingia jeshi wote wawe na at least diploma
Unaufikiria Uchumu kukua katika angle ipi?
Akili ndogo wewe ...kakaliehotpotIwapo tukakorofishana na Mmarekani leo hii, japo sio kipaumbele chetu, Je! JWTZ ina mkakati wowote juu ya hii military base ya MANDA BAY iliyopo LAMU?
Vita ya UKRAINE Lazima itufukirishe.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kuna project ya silaha nzito mno watu walikuwa wameihold. Ilkuwa ni watu wasiopungua wanne. Ili kuweza kujihami walipenda kila waendapo waende pamoja ili kuepuka mmoja wao asije akashikwa.Kuna manuwari zenye uwezo mkubwa kuliko kambi hiyo ndogo, manuwari hizo zinaitwa mji mdogo yaani askari 5,000 na ndani yake kuna zana nzito za kuanzisha vita popote duniani huku ndege zinaweza kutua na kupaa toka ktk manuwari hizo.
Bado kuna kambi kubwa ya kijeshi ya Marekani ambayo ipo eneo la Africa Mashariki kisiwani Diego Garcia.
As of August 2018, Diego Garcia is the only inhabited island of the BIOT; the population is composed of military personnel and supporting contractors.
Camp Justice Naval Base in Diego Garcia | MilitaryBases.com
Camp Justice is a United States Navy support facility located in the central Indian Ocean 1,909 miles off the eastern coast of Tanzania and 1,357 miles
Marekani haiwezi kupigana vita na nchi kama Tanzania! Ile siyo nchi ya kibabe kama unavyodhani, ila tu ina damu ya kunguni.Iwapo tukakorofishana na Mmarekani leo hii, japo sio kipaumbele chetu, Je! JWTZ ina mkakati wowote juu ya hii military base ya MANDA BAY iliyopo LAMU?
Vita ya UKRAINE Lazima itufukirishe.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
When it comes to nationa threats and interests, US anaweza akafanya lolote lile.
Inategemea jinsi unavyotafsiri vita ...tafsiri vita kwa muktadha wa sasa .Marekani haiwezi kupigana vita na nchi kama Tanzania! Ile siyo nchi ya kibabe kama unavyodhani, ila tu ina damu ya kunguni.
Marekani imesaidia sana dunia hii kuliko taifa lolote lile baada ya vita ya dunia ya 2, lakini vile vile bado ndilo taifa linalochukiwa na mataifa mengi dunia kama hiyo siyo damu ya kunguni basi itakuwa ni nini. Urusi yenyewe ilipoporomoka mwaka 1992 ilisaidwa sana na Marekani kufikia hapo ilipo leo; yale mafuta yalichimbwa na ExxonMobil. Na hata China ilinyanyuliwa kutoka kwenye umaskini na marekani lakini leo wanawatunishia msuli.
Swali nililosoma hapo juu linahusu vita ya kijeshi, ndiyo maana JWTZ ikahusishwa. Sasa kama unafikiria vita ya kicuhumi au vita ya kimtandao, hakuna haja ya kuzungumzia JWTZ.Inategemea jinsi unavyotafsiri vita ...tafsiri vita kwa muktadha wa sasa .
kwani JWTZ haitakiwi kuwa na kitengo cha vita ya kiuchumi?Swali nililosoma hapo juu linahusu vita ya kijeshi, ndiyo maana JWTZ ikahusishwa. Sasa kama unafikiria vita ya kicuhumi au vita ya kimtandao, hakuna haja ya kuzungumzia JWTZ.
mbona walikuja kufanya mazoezi ya pamoja na jeshi letu uliwahi uliza hili suala?Do we have a scientific and concrete document inayohoji na kuelezea uwepo wa base hii karibu kabisa na mipaka yetu?
Inawezekana una tafsiri tofauti na maana ya vita ya kiuchumi. JWTZ hawawezi kuiliwekea taifa lololote la nje vikwazo vya kiuchumi, je kitengo hicho unachotaka wewe kitafanya kazi gani?kwani JWTZ haitakiwi kuwa na kitengo cha vita ya kiuchumi?