Jeshi la Wananchi wa Tanzania linatazamaje Manda Bay yenye US military base?

Jeshi la Wananchi wa Tanzania linatazamaje Manda Bay yenye US military base?

hawa hawa...usiwadharau
Best trust me.
90% ya wanajeshi wetu ni mzigo, hawajapata mafunzo ya kisasa.
Imagine Mimi nimepiga course BASEMENT moja yenye jina mwaka 2013 lakini syndicate tulitumia ramani ya miaka ya 1954.
Nilichoka sana, na kwakweli ule mchezo wa kutafuta vitu vilivyofichwa maporini vijana wanafanya uhuni kwa kishirikina na makamanda wasimamizi.
Kama unavyoona uhuni wa chuo kikuu vijana kumhonga lecture asiwakazie na JWTZ pia kuna huo uhuni.
 
Military base za marekani zinalindwa vizuri, ni vigumu sana kuzipiga au kujipenyeza. Zina perimeter security, zina anti missile defense, zinaangaliwa na satelite. Hiyo base ya Manda Bay ingekuwa haina ulinzi mzuri, Al Shabaab wangeshaipiga tayari. Tukikorofishana na Marekani nyie tafuteni Wamarekani walioko bongo muwateke nyara kama wanavyofanya Al Shabaab. Hapo ndiyo mtawakomesha Wamarekani.
 
Tuache pambana na mbu .. inzi.. mebde na kipindu pindu. Tuache tafuta mlo m1 kwa siku..Tuanze ugomv na marekan?
Laiti kama wazee wetu walipigana na hawa majamaa kwa mishale na wakashinda... kwa nini sisi tushindwe. Nchi inapaswa kujilinda kwa namna yoyote ile dhidi ya adui. Apigwe tu akileta chokochoko
 
Mawazo ya kipumbavu. Badala ya kuangalia namna ya kumsaidia rais uchumi ukue u awaza upumbavu huku umekaa sebuleni kwa shemeji yako na remote miguu ipo juu ya stool unasubiri chakula...
 
Iwapo tukakorofishana na Mmarekani leo hii, japo sio kipaumbele chetu, Je! JWTZ ina mkakati wowote juu ya hii military base ya MANDA BAY iliyopo LAMU?

Vita ya UKRAINE Lazima itufukirishe.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Wanajeshi wa US tayari wapo kwenye jeshi letu kila siku upanga wanajua kila kitu tulichonacho hatuwezi kugombana na wadhamini wetu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mawazo ya kipumbavu. Badala ya kuangalia namna ya kumsaidia rais uchumi ukue u awaza upumbavu huku umekaa sebuleni kwa shemeji yako na remote miguu ipo juu ya stool unasubiri chakula...
 
Mawazo ya kipumbavu. Badala ya kuangalia namna ya kumsaidia rais uchumi ukue u awaza upumbavu huku umekaa sebuleni kwa shemeji yako na remote miguu ipo juu ya stool unasubiri chakula...
Unaufikiria Uchumu kukua katika angle ipi?
 
Best trust me.
90 ya wanajeshi wetu ni mzigo, hawajapata mafunzo ya kisasa.
Imagine Mimi nimepiga course BASEMENT moja yenye jina mwaka 2013 lakini syndicate tulitumia ramani ya miaka ya 1954.
Nilichoka sana, na kwakweli ule mchezo wa kutafuta vitu vilivyofichwa maporini vijana wanafanya uhuni kwa kishirikina na makamanda wasimamizi.
Kama unavyoona uhuni wa chuo kikuu vijana kumhonga lecture asiwakazie na JWTZ pia kuna huo uhuni.
Acha haya maneno kudharau Jeshi la kizalendo JWTZ.
 
Iwapo tukakorofishana na Mmarekani leo hii, japo sio kipaumbele chetu, Je! JWTZ ina mkakati wowote juu ya hii military base ya MANDA BAY iliyopo LAMU?

Vita ya UKRAINE Lazima itufukirishe.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hamna ubavu wa kukorofishana na Marekani nyie wamatumbi.

Maadui zetu ni njaa, umasikini na maradhi, sio Wamarekani wala nchi yoyote ile.
 
Best trust me.
90 ya wanajeshi wetu ni mzigo, hawajapata mafunzo ya kisasa.
Imagine Mimi nimepiga course BASEMENT moja yenye jina mwaka 2013 lakini syndicate tulitumia ramani ya miaka ya 1954.
Nilichoka sana, na kwakweli ule mchezo wa kutafuta vitu vilivyofichwa maporini vijana wanafanya uhuni kwa kishirikina na makamanda wasimamizi.
Kama unavyoona uhuni wa chuo kikuu vijana kumhonga lecture asiwakazie na JWTZ pia kuna huo uhuni.
Alafu ndio mtoa mada anawaza kukorofishana na Marekani...

Yaani sungura anapiga mahesabu ya kumbeba Tembo.
 
Iwapo tukakorofishana na Mmarekani leo hii, japo sio kipaumbele chetu, Je! JWTZ ina mkakati wowote juu ya hii military base ya MANDA BAY iliyopo LAMU?

Vita ya UKRAINE Lazima itufukirishe.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
😂😂😂
Vichekesho..

Hivi Tz ina uwezo na teknolojia ya kupambana na hao wenye hiyo military base?

Mfupa uliomshinda fisi wewe utauweza?!

Wale waasi wahuni tu wa Msumbiji inasemekana waliteka kifaru cha jeshi letu kusini huko.

Ulishasikia juu ya rais wa zamani wa Panama, Manuel Noriega, walichomfanya alipoji mwambafai?

Akiwa madarakani kabisa, alikamatwa nchini kwake akafungwa pingu, akapelekwa US, akashtakiwa chap, akahumiwa na kufungwa miaka 20. Baadaye akashtakiwa Ufaransa, akahumiwa miaka 7, akarejeshwa Panama kutumikia kifungo!

Na huko Panama alikuta anasubiriwa na hukumu tatu za miaka 20 kila moja!!!

"...Once a US ally, he was arrested by invading American troops in January 1990, amid allegations he had turned the Central American nation into a drug-trafficking hub.

He spent 20 years in prison in the US after being convicted there of the charges.

In 2010, he was extradited from the US to France, where he had been convicted in absentia of laundering money from Colombian drug gangs through a French bank to buy property in Paris.

He received a seven-year jail sentence from the French court.

In Panama itself, he faces three 20-year jail terms for crimes committed during his rule, including the murders of political opponents.

However, it remains unclear whether he will remain in prison, as Panama allows people aged 70 years and above to serve their sentences at home.."

Acha haya maneno kudharau Jeshi la kizalendo JWTZ.
Mimi sijadharau bali nimeongea uhalisia.
Nimepiga kozi mbili za kijeshi.
Yaani cheating zipo sana jeshini.
Ndio maana mimi sio kila university graduate ninamuheshimu. Wengi wamefika mpaka university kwa janjajanja. The same kwenye majeshi yetu.
Hivi mtu anayetoa hela ili anunue nafasi jeshini unamweka kundi gani?
Ok.
Jambo jingine fikiria, Private wa Jeshi la wananchi anajua vitu vingapi?
- Anajua kutumia computer?
-Anajua kuendesha convoy za jeshi?
-Anajua kurusha drone za kivita?
-Anajua kuendesha pikipiki?.
Kwa nchi za wenzetu private lazima ajue vitu hivyo huku sisi si wote wanaojua hivyo
 
Iwapo tukakorofishana na Mmarekani leo hii, japo sio kipaumbele chetu, Je! JWTZ ina mkakati wowote juu ya hii military base ya MANDA BAY iliyopo LAMU?

Vita ya UKRAINE Lazima itufukirishe.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Mikakati tayari ishaandaliwa na Kingai.
 
Mimi sijadharau bali nimeongea uhalisia.
Nimepiga kozi mbili za kijeshi.
Yaani cheating zipo sana jeshini.
Ndio maana mimi sio kila university graduate ninamuheshimu. Wengi wamefika mpaka university kwa janjajanja. The same kwenye majeshi yetu.
Hivi mtu anayetoa hela ili anunue nafasi jeshini unamweka kundi gani?
Ok.
Jambo jingine fikiria, Private wa Jeshi la wananchi anajua vitu vingapi?
- Anajua kutumia computer?
-Anajua kuendesha convoy za jeshi?
-Anajua kurusha drone za kivita?
-Anajua kuendesha pikipiki?.
Kwa nchi za wenzetu private lazima ajue vitu hivyo huku sisi si wote wanaojua hivyo
Aisee mkuu Sanda Ali,hapo umeongea kitu kimoja adhimu sana watu wengi wanakwepa sana hizo discussion lakini ukweli ndio huo.Hilo jambo la CHEATING lipo karibia nyanja zote especially kwa hapa Tz.Na impact kubwa ya cheating huwa ni low quality and poor performance ambayo inaletelezea poor results.
Kila sector hapa Tz ina tatizo hilo ndio maana hatupigi hatua mbele ila tunapiga marktime tu..

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom