GE2025 Jeshi lipo na wananchi, linawalinda wananchi kutumiza azma yao

GE2025 Jeshi lipo na wananchi, linawalinda wananchi kutumiza azma yao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Black Opal

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2023
Posts
304
Reaction score
545
Kama mnavyoona na kusikia kwenye video hapo jeshi limetulia na kuwaacha wananchi wafanya yao bila shida!

Polisi wakatika kuzidi nguvu wananchi, Jeshi linazogea mbele kuwangika na kuacha maadamano yaendeleee. Ni suala la muda kazi inaisha, heshima inarudi tanzania.


 
wale askari waliokuwa wanajipitisha pitisha juzi wakwapi yani leo nchi haina skari kabisa au na wao wameandamana
 
Sioni Raha tunapovunja na kuharibu vile vifaa na mjengo ambavyo kesho tutayategemea. Pia, Tukumbuke, Leo usiku, hao hao vijana wakituvamia nyumbani, tutakimbilia kituo gani? We need changes but not destructions and chaos!
 
Back
Top Bottom