Kama mnavyoona na kusikia kwenye video hapo jeshi limetulia na kuwaacha wananchi wafanya yao bila shida!
Polisi wakatika kuzidi nguvu wananchi, Jeshi linazogea mbele kuwangika na kuacha maadamano yaendeleee. Ni suala la muda kazi inaisha, heshima inarudi tanzania.
Sioni Raha tunapovunja na kuharibu vile vifaa na mjengo ambavyo kesho tutayategemea. Pia, Tukumbuke, Leo usiku, hao hao vijana wakituvamia nyumbani, tutakimbilia kituo gani? We need changes but not destructions and chaos!