johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
I wish I could be IGP, alisemagaTukiwa JKT kwa mujibu wa sheria tulifundishwa mambo mengi yakiwemo Uvumilivu, Nidhamu na Utii.
Ukiwa jeshini unatakiwa utumikie nafasi uliyopo kwa weledi na uzalendo uliotukuka na kuwatii Viongozi wako pamoja na kuwaheshimu walio chini yako...
Hao wote chawa wa CCM wacha wauane kabisa kwa usnitchTukiwa JKT kwa mujibu wa sheria tulifundishwa mambo mengi yakiwemo Uvumilivu, Nidhamu na Utii.
Ukiwa jeshini unatakiwa utumikie nafasi uliyopo kwa weledi na uzalendo uliotukuka na kuwatii Viongozi wako pamoja na kuwaheshimu walio chini yako...
Inasemekana alitumwa India kwenye matibabu.Hivi Ndugai yuko wapi?
Inasemekana alitumwa India kwenye matibabu.
Salasala!Hivi Ndugai yuko wapi?
Jeshini hakuna kukaliana vikao bwashee!Mimi nachokiona ni kwamba ndani ya jeshi lenyewe kuna jambo linafukuta. Ni kweli huwezi kuomba cheo cha boss wako kirejareja. Unajua watu wakianza kukukalia vikao ni vizuri ukaaga na kuondoka.
Kumbe hata yeye Dodoma hapazimii? Ila lile jumba la Spika wa bunge ndio lilimfanya aione Dodoma kama Brisbane.ππSalasala!
Ndugai ni mwana Salasala.Kumbe hata yeye Dodoma hapazimii? Ila lile jumba la Spika wa bunge ndio lilimfanya aione Dodoma kama Brisbane.ππ
Walivyoshiriki kukata majina ya kina Chenge na Adadi Rajabu na yeye atashughulikiwa hivyohivyo.Ndugai ni mwana Salasala.
2025 atagombea ubunge wa Kawe ndio maana askofu Gwajima analeta bifu.
Ila kumkosoa amiri jeshi mkuu inaruhusiwa, siyo?Tukiwa JKT kwa mujibu wa sheria tulifundishwa mambo mengi yakiwemo Uvumilivu, Nidhamu na Utii.
Ukiwa jeshini unatakiwa utumikie nafasi uliyopo kwa weledi na uzalendo uliotukuka na kuwatii Viongozi wako pamoja na kuwaheshimu walio chini yako.
Jeshini hutakiwi kutamani nafasi ya mtu bali juhudi zako zitaonekana na mamlaka kama kweli unastahili
Tusichanganye kabisa mambo ya Jeshi na Siasa.
Maendeleo hayana vyama!
Mwenyekiti tayari ana kiti chake cha kudumu. Alisema 2023 atastaafu siasa, lkn dalili hazionekaniTukiwa JKT kwa mujibu wa sheria tulifundishwa mambo mengi yakiwemo Uvumilivu, Nidhamu na Utii.
Ukiwa jeshini unatakiwa utumikie nafasi uliyopo kwa weledi na uzalendo uliotukuka na kuwatii Viongozi wako pamoja na kuwaheshimu walio chini yako.
Jeshini hutakiwi kutamani nafasi ya mtu bali juhudi zako zitaonekana na mamlaka kama kweli unastahili
Tusichanganye kabisa mambo ya Jeshi na Siasa.
Maendeleo hayana vyama!
Ni heri kumkosoa amiri jeshi mkuu kuliko kumkosoa mwenyekiti wa chama.Ila kumkosoa amiri jeshi mkuu inaruhusiwa, siyo?
Ccm ndio wamefikisha majeshi yetu huku....Tukiwa JKT kwa mujibu wa sheria tulifundishwa mambo mengi yakiwemo Uvumilivu, Nidhamu na Utii.
Ukiwa jeshini unatakiwa utumikie nafasi uliyopo kwa weledi na uzalendo uliotukuka na kuwatii Viongozi wako pamoja na kuwaheshimu walio chini yako.
Jeshini hutakiwi kutamani nafasi ya mtu bali juhudi zako zitaonekana na mamlaka kama kweli unastahili
Tusichanganye kabisa mambo ya Jeshi na Siasa.
Maendeleo hayana vyama!
CCM majina anaandaa mwenyekiti kile kikao ni formality tu.Walivyoshiriki kukata majina ya kina Chenge na Adadi Rajabu na yeye atashughulikiwa hivyohivyo.
Malipo ni hapahapa duniani, Mungu ataki madeni hadi mbinguni, ya duniani tunamalizana hukuhuku.
Kumbuka Ndugai alikuwa ni mjumbe wa kamati kuu CC kwa sababu alikuwa spika, sasa hawezi kuingia kamati kuu anaingia Tulia Ackson, raha ya nyimbo tamu ni kuimba kwa kupokezana.ππ