Jeshi siyo chama cha Siasa hadi utamani cheo cha Bosi wako mkuu. Hata kwenye Siasa tuliyaona yaliyomkuta Zitto alipotamani cheo cha Mwenyekiti

Jeshi siyo chama cha Siasa hadi utamani cheo cha Bosi wako mkuu. Hata kwenye Siasa tuliyaona yaliyomkuta Zitto alipotamani cheo cha Mwenyekiti

Mimi nachokiona ni kwamba ndani ya jeshi lenyewe kuna jambo linafukuta. Ni kweli huwezi kuomba cheo cha boss wako kirejareja. Unajua watu wakianza kukukalia vikao ni vizuri ukaaga na kuondoka.
wakati nipo secondary kuna deputy headmaster alimsnittc principal kwa mwenye shule akatuma malalamiko ya mapungufu ya principal kwa mmiliki wa shule

Japo jamaa alikuwa na nia nzuri ya kutaka Principal abadilike, mwenye shule alifunga safari na kuja kuitisha kikao,alisoma zile E-mails mbele ya walimu wote akiwemo na Principal😂
 
🐒🐒🐒

Tukiwa JKT kwa mujibu wa sheria tulifundishwa mambo mengi yakiwemo Uvumilivu, Nidhamu na Utii.

Ukiwa jeshini unatakiwa utumikie nafasi uliyopo kwa weledi na uzalendo uliotukuka na kuwatii Viongozi wako pamoja na kuwaheshimu walio chini yako.

Jeshini hutakiwi kutamani nafasi ya mtu bali juhudi zako zitaonekana na mamlaka kama kweli unastahili

Tusichanganye kabisa mambo ya Jeshi na Siasa.

Maendeleo hayana vyama!

Pia, soma=> RPC Kagera: Natamani kuwa IGP, aliyepo hajafanya makosa lakini mimi nitafanya mazuri zaidi
Tayari mambo yameshabadilika

Hata Ndugai alipotamani cheo cha bibi ushungi mpk leo hajulikani alipo
 
Walivyoshiriki kukata majina ya kina Chenge na Adadi Rajabu na yeye atashughulikiwa hivyohivyo.

Malipo ni hapahapa duniani, Mungu ataki madeni hadi mbinguni, ya duniani tunamalizana hukuhuku.

Kumbuka Ndugai alikuwa ni mjumbe wa kamati kuu CC kwa sababu alikuwa spika, sasa hawezi kuingia kamati kuu anaingia Tulia Ackson, raha ya nyimbo tamu ni kuimba kwa kupokezana.😄😄
Hatari sn
 
JKT mkuu tulifundishwa utii, uvumilivu na kulitumikia taifa kwa uzalendo wa kweli...

Ninachokiona hapa kwa ndugu SIRRO inaonekana huko jeshini Askari hawana imani nae kiiiivo...

Na SIRRO hana mda mrefu sana,,,, Anaweza asifike hata December kama hatabadili mwenendo wa Jeshi lake.
 
Tukiwa JKT kwa mujibu wa sheria tulifundishwa mambo mengi yakiwemo Uvumilivu, Nidhamu na Utii.

Ukiwa jeshini unatakiwa utumikie nafasi uliyopo kwa weledi na uzalendo uliotukuka na kuwatii Viongozi wako pamoja na kuwaheshimu walio chini yako.

Jeshini hutakiwi kutamani nafasi ya mtu bali juhudi zako zitaonekana na mamlaka kama kweli unastahili

Tusichanganye kabisa mambo ya Jeshi na Siasa.

Maendeleo hayana vyama!

Pia, soma=> RPC Kagera: Natamani kuwa IGP, aliyepo hajafanya makosa lakini mimi nitafanya mazuri zaidi

Sikubaliani na hii hoja. Kutaka kuwa mkuu wa jeshi lolote ni kitu kizuri na kujiamini.

Kila mwanajeshi au Polisi anatakiwa kutaka kuwa bora sasa hapo tatizo ni nini
 
Sikubaliani na hii hoja. Kutaka kuwa mkuu wa jeshi lolote ni kitu kizuri na kujiamini. Kila mwanajeshi au Polisi anatakiwa kutaka kuwa bora sasa hapo tatizo ni nini
Ndio umuombe hadharani Amiri jeshi mkuu akuteue?

Jeshi la wapi hilo?!!
 
Ndio umuombe hadharani Amiri jeshi mkuu akuteue?

Jeshi la wapi hilo?!!

Hakuna tatizo kama kasema kwa heshima ulitaka amuandikie barua!

au! Hii ndiyo njia pekee ya Amiri jeshi mkuu kupata ujumbe!.

Hakuna tatizo lolote kutaka cheo. Tatizo ni woga wa Sirro maana hafanyi kazi nzuri na ni wakati wa kumuondoa
 
Back
Top Bottom