M Mdusi94 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2017 Posts 3,657 Reaction score 3,391 Dec 12, 2024 #61 Bengal said: Sio kila ugomvi wa kuingilia upo mwingine wa kimkakati. Click to expand... Assad ndo aliwaleta hapo usijitoe ufaham
Bengal said: Sio kila ugomvi wa kuingilia upo mwingine wa kimkakati. Click to expand... Assad ndo aliwaleta hapo usijitoe ufaham
M Mdusi94 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2017 Posts 3,657 Reaction score 3,391 Dec 12, 2024 #62 Yahya Al Sinwar said: Hawategemeani ila marekani anamtegemea mrusi. Na mrusi ndio mtu wa kwanza kutoka nje ya Dunia na kwenda anga za nje ya dunia Click to expand... mtu mweusi akikupenda anakuwa km mwehu
Yahya Al Sinwar said: Hawategemeani ila marekani anamtegemea mrusi. Na mrusi ndio mtu wa kwanza kutoka nje ya Dunia na kwenda anga za nje ya dunia Click to expand... mtu mweusi akikupenda anakuwa km mwehu
M Mdusi94 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2017 Posts 3,657 Reaction score 3,391 Dec 12, 2024 #63 pandagichiza said: Middle East ni uwanja fujo Siku wakipata akili watawatimua mabeberu wote na wataishi kwa amani kabisa. Click to expand... shida sio mabeberu shida ni mitizamo yao ya kibinafsi , kila mmoja kutaka kujiona yupo juu ya mwenzie
pandagichiza said: Middle East ni uwanja fujo Siku wakipata akili watawatimua mabeberu wote na wataishi kwa amani kabisa. Click to expand... shida sio mabeberu shida ni mitizamo yao ya kibinafsi , kila mmoja kutaka kujiona yupo juu ya mwenzie