Tetesi: Jeshini kwa moto: Wakataa kutumika kisiasa na wanahoji kwanini Magari ya Jeshi yanapigwa Chata za CCM pale Keko?

Tetesi: Jeshini kwa moto: Wakataa kutumika kisiasa na wanahoji kwanini Magari ya Jeshi yanapigwa Chata za CCM pale Keko?

Tanzania Hii wasio na vyeo ndo wanaweza ikomboa, achana na hawa ambao wana vyeo na wana access ya ikulu hao wanaona wana cha kupoteza, Ila vijana zaidi ya 320 ndani ya jeshi na wenye ushawishi wanahoji kwanini UVCCM na CCM imeingilia shughuli za jeshi na kuanza kupeleka magari ya jeshi keko yapigwe Chata za CCM

Swali firishi
Kwanini Wakati wa hotuba ya msemaji wa jeshi kukanusha suala la Tesha hajasema Jeshi linamtafuta?

Pili kwanini baada ya hotuba ile viongozi 7 wa Kamandi kadhaa waliwasiliana na Tesha moja kwa moja na kumweleza jambo bila hata kumwajibisha?

Kwenye jeshi la PolisI sasa huko wengi wanaotumwa kutesa watu nao wameanza kuchoka,
Kuna barua zaidi ya 5 Mpaka sasa za kuwafuta kazi

Freedom is coming tomorrow
Eti broo juzi wakasem wewe ndio pole pole eti ushatekwa
 
Kusema kweli tuache masikhara.

Tulipofika hapa Jeshi luchukue nchi na kusitisha kila kitu na liongoze mchakato wa Katiba Mpya then lisimamie uchaguzi tupate Serikali halali ya Wananchi.
Ndi tunawlekea
 
Back
Top Bottom