Tanzania Hii wasio na vyeo ndo wanaweza ikomboa, achana na hawa ambao wana vyeo na wana access ya ikulu hao wanaona wana cha kupoteza, Ila vijana zaidi ya 320 ndani ya jeshi na wenye ushawishi wanahoji kwanini UVCCM na CCM imeingilia shughuli za jeshi na kuanza kupeleka magari ya jeshi keko yapigwe Chata za CCM
Swali firishi
Kwanini Wakati wa hotuba ya msemaji wa jeshi kukanusha suala la Tesha hajasema Jeshi linamtafuta?
Pili kwanini baada ya hotuba ile viongozi 7 wa Kamandi kadhaa waliwasiliana na Tesha moja kwa moja na kumweleza jambo bila hata kumwajibisha?
Kwenye jeshi la Polis sasa huko wengi wanaotumwa kutesa watu nao wameanza kuchoka,
Kuna barua zaidi ya 5 Mpaka sasa za kuwafuta kazi
Freedom is coming tomorrow