Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,607
- 9,171
Utasubiri saaaanaNaona haya uyasemayo yawe ya kweli.
Utasubiri saaaanaNaona haya uyasemayo yawe ya kweli.
Hiyo backup Polepole ameitoa wapi? Kwa cheo cha katibu Mwenezi ndio awe na nguvu hizo mnazodhani?Polepole sawa amekamatwa lakini wazo la kusema wamuue ni vigumu sana ana backup kubwa nyuma ndani ya vyombo vyetu ukitoa polisi hao waliomkamata. Hata mamlaka zinajuwa zitakuwa zimetua kiberiti nchi
Huwa sina shaka na taarifa zako;Tanzania Hii wasio na vyeo ndo wanaweza ikomboa, achana na hawa ambao wana vyeo na wana access ya ikulu hao wanaona wana cha kupoteza, Ila vijana zaidi ya 320 ndani ya jeshi na wenye ushawishi wanahoji kwanini UVCCM na CCM imeingilia shughuli za jeshi na kuanza kupeleka magari ya jeshi keko yapigwe Chata za CCM
Swali firishi
Kwanini Wakati wa hotuba ya msemaji wa jeshi kukanusha suala la Tesha hajasema Jeshi linamtafuta?
Pili kwanini baada ya hotuba ile viongozi 7 wa Kamandi kadhaa waliwasiliana na Tesha moja kwa moja na kumweleza jambo bila hata kumwajibisha?
Kwenye jeshi la PolisI sasa huko wengi wanaotumwa kutesa watu nao wameanza kuchoka,
Kuna barua zaidi ya 5 Mpaka sasa za kuwafuta kazi
Freedom is coming tomorrow
muriro gps nyumba yake tunatuma wakimbizi ambao wametendeo kambi zaoTanzania Hii wasio na vyeo ndo wanaweza ikomboa, achana na hawa ambao wana vyeo na wana access ya ikulu hao wanaona wana cha kupoteza, Ila vijana zaidi ya 320 ndani ya jeshi na wenye ushawishi wanahoji kwanini UVCCM na CCM imeingilia shughuli za jeshi na kuanza kupeleka magari ya jeshi keko yapigwe Chata za CCM
Swali firishi
Kwanini Wakati wa hotuba ya msemaji wa jeshi kukanusha suala la Tesha hajasema Jeshi linamtafuta?
Pili kwanini baada ya hotuba ile viongozi 7 wa Kamandi kadhaa waliwasiliana na Tesha moja kwa moja na kumweleza jambo bila hata kumwajibisha?
Kwenye jeshi la PolisI sasa huko wengi wanaotumwa kutesa watu nao wameanza kuchoka,
Kuna barua zaidi ya 5 Mpaka sasa za kuwafuta kazi
Freedom is coming tomorrow
Dah!!! Mimi nshanyamaza. Tangu wamtishie Max Melo kumuua niko kimyaWapi Robot la Matope na Roboti Wa Nape mnauye.
tafuta za anko T we mswengeLete na picha bhna una ongea sana picha tushuhudie ziko wapi tangu umeanza ongea ume kosa ata picha?
Mi nitawafanya Ile kitu mbaya 😂Dah!!! Mimi nshanyamaza. Tangu wamtishie Max Melo kumuua niko kimya
Hata Kiduku wa X alikua anasema atawapaka mafuta wamelemete...........Mi nitawafanya Ile kitu mbaya [emoji23]
Na ukumbuka huyu ndo alisababisha mpaka sasa kuipata jamiiforums kwa vpnDah mwamba una access sana. Unaaminika pia humu jf.
Waje niwoneshe kazi kidogoHata Kiduku wa X alikua anasema atawapaka mafuta wamelemete...........
Walivyomdaka akaanza kujinyea