Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Mods waende likizo. JF imefungiwa.Dah uzi ulifutwa huu halafu wameurudisha nyie mods huko kuna nini kwani mnafutafuta uzi bila sababu?
Mods waende likizo. JF imefungiwa.Dah uzi ulifutwa huu halafu wameurudisha nyie mods huko kuna nini kwani mnafutafuta uzi bila sababu?
Dogo ana zingua sanaWewe andaa vya kupika siku 30 kaa ndani.
Wakimuua CCM inagawanyika vipandeWasije wakamuua tu comrade Polepole.
Bora iwe hivyo aisee, tumechoka sasaHii nchi soon inaingia kwenye matatizo.
Freedom is comingFreedom is coming tomorrow
God bless usFreedom is coming tomorrow
UnaboaKusema kweli tuache masikhara.
Tulipofika hapa Jeshi luchukue nchi na kusitisha kila kitu na liongoze mchakato wa Katiba Mpya then lisimamie uchaguzi tupate Serikali halali ya Wananchi.
Kwann ?vijana zaidi ya 320 wenye ushawishi ndani ya jeshi.... 🤣🤣🤣🤣 Nimekushusha vyeo brother......
Duh...!. Mimi nilishauri Post in thread 'Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe' Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika WeweTanzania Hii wasio na vyeo ndo wanaweza ikomboa, achana na hawa ambao wana vyeo na wana access ya ikulu hao wanaona wana cha kupoteza, Ila vijana zaidi ya 320 ndani ya jeshi na wenye ushawishi wanahoji kwanini UVCCM na CCM imeingilia shughuli za jeshi na kuanza kupeleka magari ya jeshi keko yapigwe Chata za CCM
Swali firishi
Kwanini Wakati wa hotuba ya msemaji wa jeshi kukanusha suala la Tesha hajasema Jeshi linamtafuta?
Pili kwanini baada ya hotuba ile viongozi 7 wa Kamandi kadhaa waliwasiliana na Tesha moja kwa moja na kumweleza jambo bila hata kumwajibisha?
Kwenye jeshi la Polis sasa huko wengi wanaotumwa kutesa watu nao wameanza kuchoka,
Kuna barua zaidi ya 5 Mpaka sasa za kuwafuta kazi
Freedom is coming tomorrow
Labda Jeshi la namtumbo...... Anaelijua jeshi hawezi kuubeba uongo kama huo..Kwann ?