Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,233
- 12,398
Maumivu unayoyapata ndiyo maumivu tunayoyapata sisi ambao hatujaweza hata kuupata mwili wa Ben Saanane ili tumzike kimila na kwa taratibu zetu.
Israel walipambana for 10 years kuupata mwili wa Eli Cohen one of the great Spy ever lived on this planet ili tu kumzika kimila za kiyahudi.
Israel ilinunua mabaki ya Eli Cohen kwa gharama kubwa sana after 10 years of negotiatons with Syria government following Eli Cohen execution.
Leo sisi hatujui hata majivu ya Ben yalitupwa wapi ? What a painful and grieving moment for the family ?
Ben Saanane aliacha mtoto mmoja wa kike, imagine unakuwa bila hata ya kujuakaburi la baba yako lilipo , what a sad story ? And cold World ?
yote ni kwasababu ya oda za JPM kama ilivo kwa oda za SSH kwa Ali kibao na kwamba kufa kupo tu …
maumivu waliyoyapata watoto wa Ali kibao baba yao kuuliwa kama mbwa , kutobolewa macho, na kutupwa ufukweni….. what a sad and painful story to hear ? Only to be told …..wacha afe ….kufa kupo tu …. What a grieving moment
Please … it is Still not the right moment for public empathy…..Jessica !
Hakuna Mtanzania mwenye empathy na mwana CCM …. na mkifa huwa ndio furaha yao…. Hii ni kwasababu ya matendo ya kiovu ya wazee wenu wakiwa kwenye power…..huku nyie mkiona ni sawa
…. Dunia inasubira sana na muda , mliokwenye power endeleeni ku abuse power na kutesa watanzania… kwa kudai haki zao …muda ni Hakimu mzuri
Yote ya Yote, Jessica kama hujaolewa , mimi nipo tayari kuleta posa kwenu, nimependa ngozi yako too cute and natural , unaongea taratibu and Lovely ….. you are too emotional ; you can make a good family combo… I mean it 😎
Aione; Jessica J. Magufuli
Dr Megalodon Ndesaruo Mushi
Canada