Hii mbona kama ni personal attack.... usije kuwa ulimchumbia akakutolea nje ukaamua kumleta hapa.... mods ondoa huu upuuzi.... hili jukwaa sio la blabla.... njoo na uthibitisho na sio kumshambulia mtu tu....
Hii mbona kama ni personal attack.... usije kuwa ulimchumbia akakutolea nje ukaamua kumleta hapa.... mods ondoa huu upuuzi.... hili jukwaa sio la blabla.... njoo na uthibitisho na sio kumshambulia mtu tu....
Hakuna hoja uliyo leta mkuu... Kama ulimtongoza akakukataa kunywa Vodka wiki moja utatulia.... acha umburula bana hili sio jukwaa la watu wajinga wajinga kama wewe.... mods plz ondoa huu upuuzi.....hahaha eti personal attack
mwaka huu mtafidia miaka yote mliokula
na tangazo liko wapi?fungua picha ya pili hapo na video ipo leo limepigwa pini
wewe dada vitu vyako unauza ghali kuliko kawaida kwa kigezo unalipa kodi? kodi ipi
lakini pia juzi ulipost kwamba watu wajiandae kwa upotevu wa makontena kama walipitisha bila kulipia kumbe na wewe ni mmoja wa mapapa naam ni mmoja maana ushampost sana "yule jamaa anaesafirisha bidhaa kwa miujiza kufika kwako bila kodi" ukisifia sana kuhusu ubora wa huduma zake duh wewe kumbe haulipi kodi
i don do girls hata kama ingekua hvyo sio yule ladyHakuna hoja uliyo leta mkuu... Kama ulimtongoza akakukataa kunywa Vodka wiki moja utatulia.... acha umburula bana hili sio jukwaa la watu wajinga wajinga kama wewe.... mods plz ondoa huu upuuzi.....