Jestina George wa Zurii nae tunduni, halipi kodi duka lake liko kizuizini

mamii90

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
380
Reaction score
266
wewe dada vitu vyako unauza ghali kuliko kawaida kwa kigezo unalipa kodi? kodi ipi

lakini pia juzi ulipost kwamba watu wajiandae kwa upotevu wa makontena kama walipitisha bila kulipia kumbe na wewe ni mmoja wa mapapa naam ni mmoja maana ushampost sana "yule jamaa anaesafirisha bidhaa kwa miujiza kufika kwako bila kodi" ukisifia sana kuhusu ubora wa huduma zake duh wewe kumbe haulipi kodi
 
Attachments

  • 1448907520597.jpg
    1448907520597.jpg
    84 KB · Views: 4,224
  • 1448907581276.jpg
    1448907581276.jpg
    60.3 KB · Views: 3,851
Hii mbona kama ni personal attack.... usije kuwa ulimchumbia akakutolea nje ukaamua kumleta hapa.... mods ondoa huu upuuzi.... hili jukwaa sio la blabla.... njoo na uthibitisho na sio kumshambulia mtu tu....
 
hahaha eti personal attack

mwaka huu mtafidia miaka yote mliokula
 
Haya mengine majungu sasa..kama amekuzidi kipato pambana hacha majungu
 
Hii mbona kama ni personal attack.... usije kuwa ulimchumbia akakutolea nje ukaamua kumleta hapa.... mods ondoa huu upuuzi.... hili jukwaa sio la blabla.... njoo na uthibitisho na sio kumshambulia mtu tu....

unataka hadi upate video?

najua lazma mpinge juhudi za JPM ila wengi tunafuraha
 
hahaha eti personal attack

mwaka huu mtafidia miaka yote mliokula
Hakuna hoja uliyo leta mkuu... Kama ulimtongoza akakukataa kunywa Vodka wiki moja utatulia.... acha umburula bana hili sio jukwaa la watu wajinga wajinga kama wewe.... mods plz ondoa huu upuuzi.....
 
nakujua chama chako ila sio mbaya sana #HAPA KAZI TU
 
hii haifai kukaa jukwaa la siasa....... peleka kwenye udaku!
 
wewe dada vitu vyako unauza ghali kuliko kawaida kwa kigezo unalipa kodi? kodi ipi

lakini pia juzi ulipost kwamba watu wajiandae kwa upotevu wa makontena kama walipitisha bila kulipia kumbe na wewe ni mmoja wa mapapa naam ni mmoja maana ushampost sana "yule jamaa anaesafirisha bidhaa kwa miujiza kufika kwako bila kodi" ukisifia sana kuhusu ubora wa huduma zake duh wewe kumbe haulipi kodi

Funguka vizuri Dada ili tukuelewe vizuri, nadhani una kitu unaficha. Be open mummy
 
endeleeni kulia uzi utolewe
lakini nawaambieni
bil80 hakula mmoja mjini yatafungwa mengi,
 
Hakuna hoja uliyo leta mkuu... Kama ulimtongoza akakukataa kunywa Vodka wiki moja utatulia.... acha umburula bana hili sio jukwaa la watu wajinga wajinga kama wewe.... mods plz ondoa huu upuuzi.....
i don do girls hata kama ingekua hvyo sio yule lady
sina chuki nae hata chembe ila bil 80 walikula wengi ZITARUDI
 
Mods mnaeza ondoa huu uzi hapa tafadhali?
 
Back
Top Bottom