Jet Li amkabidhi mkewe utajiri wake wote asema ataomba kwa mkewe akihitaji kitu

Jet Li amkabidhi mkewe utajiri wake wote asema ataomba kwa mkewe akihitaji kitu

Hata Mimi nimejifunza kitu ...kautajiri kangu haka nataka nimkabdhi mchaga wangu

Na sitaki kushauriwa ......

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Tena fanya haraka angalau uokoe maisha yako.

Ukichelewa unakosa vyote. Manka yupo hatua za mwisho za kukuzimisha abaki na mali zako, hivyo kama bado utekelezaji wa mpango huu utakawia ni vema umshirikishe ili asitishe kwanza ku press button ya mwisho😁
 
Back
Top Bottom