Jet Li amkabidhi mkewe utajiri wake wote asema ataomba kwa mkewe akihitaji kitu

Tena fanya haraka angalau uokoe maisha yako.

Ukichelewa unakosa vyote. Manka yupo hatua za mwisho za kukuzimisha abaki na mali zako, hivyo kama bado utekelezaji wa mpango huu utakawia ni vema umshirikishe ili asitishe kwanza ku press button ya mwisho[emoji16]
Unanitisha mkuu[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mwigizaji Li Lianjie 'Jet Li' amewaacha mashabiki wake midomo wazi baada ya kufunguka kuwa amemkabidhi mke wake Nina Li Chi utajiri na fedha zake zote.

Mwigizaji huyo mwenye utajiri unaokadiliwa kuwa zaidi ya dola milioni 260, kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni ameweka wazi kuwa uamuzi huo haukutokana na matatizo yake ya kiafya ambapo anasumbuliwa na ugonjwa wa hyperthyroidism na matatizo ya mgongo bali ni kwa sababu anaimani kubwa kwa mkewe.

"Upendo wake wa kwanza, anastahili zaidi. Kwa hakika, kwa miaka mingi, Nina amekuwa kitu kikubwa kuliko tu kuwa mpenzi wangu yeye ni mshauri, nguzo yangu ya nguvu. Alikuwa daima upande wangu, Li wakati nilipokuwa chini kabisa, alinisimamia. Anasimamia kila kitu ili niweze kuzingatia kazi yangu na afya yangu. Lolote lile, namwamini. Yeye ndiye sababu naweza kuwa ninavyokuwa leo," amesema Jet Li

Nina ambaye ni mke wa Li aliveshwa taji la Miss Asia mwaka 1986, wawili hao walikutana na kuanzisha uhusiano mwaka 1988, aidha moja ya sababu inayomvutia Li kutoka kwa mkewe ni kumtii kuacha shughuli zake za urembo na kujikita zaidi kulea familia.

Uaminifu huo wa Li kwa mkewe uliibua mijadara mbalimbali katika mtandao wa Twitter (X) mashabiki wakiwapongeza wawili hao kwa kuaminiani wakiandika "Hii si kuhusu pesa, somo la upendo ni kuhusu kuthamini mtu ambaye amekuwa upande wako kupitia kila kitu,".

Mkali huyo wa filamu za ngumi ambaye amewahi kuonekana kwenye Mulan, League of Gods, The Founding of a Republic, War na nyinginezo alifunga ndoa na Nina mwaka 1999 na wamebahatika kupata watoto wawili pamoja. Hata hivyo anadai kuwa hata akitaka kununua kitu chochote basi atamuomba mkewe pesa.

NB Wale team kataa ndoa...mpite hivi[emoji125][emoji125]View attachment 3220818

wnawake wa kichina wako.poa sana jamaa atakuwa salama salmini. usifanye hivyo kwa mbogo ulieoa Nzungu wala mwanamke yeyote wa kiafrika, itakuletea shida, hao watu hawaaminiki kabisa.
 
Mwigizaji Li Lianjie 'Jet Li' amewaacha mashabiki wake midomo wazi baada ya kufunguka kuwa amemkabidhi mke wake Nina Li Chi utajiri na fedha zake zote.

Mwigizaji huyo mwenye utajiri unaokadiliwa kuwa zaidi ya dola milioni 260, kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni ameweka wazi kuwa uamuzi huo haukutokana na matatizo yake ya kiafya ambapo anasumbuliwa na ugonjwa wa hyperthyroidism na matatizo ya mgongo bali ni kwa sababu anaimani kubwa kwa mkewe.

"Upendo wake wa kwanza, anastahili zaidi. Kwa hakika, kwa miaka mingi, Nina amekuwa kitu kikubwa kuliko tu kuwa mpenzi wangu yeye ni mshauri, nguzo yangu ya nguvu. Alikuwa daima upande wangu, Li wakati nilipokuwa chini kabisa, alinisimamia. Anasimamia kila kitu ili niweze kuzingatia kazi yangu na afya yangu. Lolote lile, namwamini. Yeye ndiye sababu naweza kuwa ninavyokuwa leo," amesema Jet Li

Nina ambaye ni mke wa Li aliveshwa taji la Miss Asia mwaka 1986, wawili hao walikutana na kuanzisha uhusiano mwaka 1988, aidha moja ya sababu inayomvutia Li kutoka kwa mkewe ni kumtii kuacha shughuli zake za urembo na kujikita zaidi kulea familia.

Uaminifu huo wa Li kwa mkewe uliibua mijadara mbalimbali katika mtandao wa Twitter (X) mashabiki wakiwapongeza wawili hao kwa kuaminiani wakiandika "Hii si kuhusu pesa, somo la upendo ni kuhusu kuthamini mtu ambaye amekuwa upande wako kupitia kila kitu,".

Mkali huyo wa filamu za ngumi ambaye amewahi kuonekana kwenye Mulan, League of Gods, The Founding of a Republic, War na nyinginezo alifunga ndoa na Nina mwaka 1999 na wamebahatika kupata watoto wawili pamoja. Hata hivyo anadai kuwa hata akitaka kununua kitu chochote basi atamuomba mkewe pesa.

NB Wale team kataa ndoa...mpite hivi[emoji125][emoji125]View attachment 3220818

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Jamaa anampenda huyu mwanamke kiasi kwamba alimpa taraka mkewe wa awali na kutelekeza watoto wao wawili wa kike baada ya kukutana huyu mrembo. mrembo akamwambia kama akiendelea kuwa na mapenzi naye yale yale kwa miaka kumi basi ndipo atamuoa.
Mnyamwezi akaendelea kuonyesha mapenzi kiasi kwamba kuna kipindi bidada alikuwa na madeni makubwa, jet li akasaini mkataba wa kucheza filamu sita na pesa itakayopatikana iende kulipia madeni ya huyu binti na kumbuka wakati huo hawajaoana ndicho kipindi cha hiyo miaka kumi ya demu kumwangalia jamaa kama ana mapenzi yale yale.
Unajua kwanini jet li movie zake nyingi alikuwa haonyeshi mahaba kwa wanawake? katika kipindi cha hiyo miaka kumi, kuna movie alicheza akiwa ana mpenzi. Baada ya hiyo movie kutoka fununu zikaanza kudai kuwa jet li anatoka na huyo actress. Huyo binti akakasirika na kutaka kuvunja mahusiano yao ambapo jet li alijitetea na kumbembeleza sana. Basi toka wakati huo Jet Li akawa kwenye mikataba yake inahusisha kipengele cha kutokuwa na scenes za mapenzi yaliyopitiliza na binti anayecheza naye.
Jamaa haambiwi kitu kwa huyo mwanamke.
 
Back
Top Bottom