Jet Li amkabidhi mkewe utajiri wake wote asema ataomba kwa mkewe akihitaji kitu

Unanitisha mkuu[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
wnawake wa kichina wako.poa sana jamaa atakuwa salama salmini. usifanye hivyo kwa mbogo ulieoa Nzungu wala mwanamke yeyote wa kiafrika, itakuletea shida, hao watu hawaaminiki kabisa.
 
Jamaa anampenda huyu mwanamke kiasi kwamba alimpa taraka mkewe wa awali na kutelekeza watoto wao wawili wa kike baada ya kukutana huyu mrembo. mrembo akamwambia kama akiendelea kuwa na mapenzi naye yale yale kwa miaka kumi basi ndipo atamuoa.
Mnyamwezi akaendelea kuonyesha mapenzi kiasi kwamba kuna kipindi bidada alikuwa na madeni makubwa, jet li akasaini mkataba wa kucheza filamu sita na pesa itakayopatikana iende kulipia madeni ya huyu binti na kumbuka wakati huo hawajaoana ndicho kipindi cha hiyo miaka kumi ya demu kumwangalia jamaa kama ana mapenzi yale yale.
Unajua kwanini jet li movie zake nyingi alikuwa haonyeshi mahaba kwa wanawake? katika kipindi cha hiyo miaka kumi, kuna movie alicheza akiwa ana mpenzi. Baada ya hiyo movie kutoka fununu zikaanza kudai kuwa jet li anatoka na huyo actress. Huyo binti akakasirika na kutaka kuvunja mahusiano yao ambapo jet li alijitetea na kumbembeleza sana. Basi toka wakati huo Jet Li akawa kwenye mikataba yake inahusisha kipengele cha kutokuwa na scenes za mapenzi yaliyopitiliza na binti anayecheza naye.
Jamaa haambiwi kitu kwa huyo mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…