Jet Li amkabidhi mkewe utajiri wake wote asema ataomba kwa mkewe akihitaji kitu

Amelogwa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mimi napenda mademu wa kijapan na china ,just walivyo tu halafu umkute mwenye limguu na shape hasa hasa wafilipino wapo hivyo mishep kama yote hata nikichunguliaga sex zao naonaga kawivu😂😁😁😁
 
Hio itawashangaza wengi ambao hamuwajui wachina ila kwa mtu ambaye amesha interact nao huwa wachina wanaheshimu sana mama kuanzia watoto mpaka waume.

Final say huwa ni mama. Hadi huwa nafikiria huenda wanafata sana Matrilineal system.
 
Nimejaribu kuangalia mali zangu nikiambiwa nimkabidhi mama G ,mpaka nimecheka.Mashati mengii na viatu vya mtumba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
$ milioni 260 pesa ya kibongo
Inakuwa ngapi vile??

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…