Jezi ipi kali kati ya Simba na Yanga?

Jezi la mikia ubunifu 0,jezi gani hilo,mo foundation,mo 29,mo chungwa,mo coconut,,vunja bei sinza,vunja bei mbeya,mpk soksi zina mo foundation,jezi ina full makolokolo,halafu mkiitwa makolokolo fc mnanuna!
Angalia jezi, matangazo sio sehemu ya ubunifu maana mdhamini anabadilika muda wowote. Jikite kwenye jezi
NB: Tusisahau mechi na wapopoo inachezwa tarehe 12 mwezi huu, na jezi hazitacheza
 
DJ waleteeee
Jezi la mikia ubunifu 0,jezi gani hilo,mo foundation,mo 29,mo chungwa,mo coconut,,vunja bei sinza,vunja bei mbeya,mpk soksi zina mo foundation,jezi ina full makolokolo,halafu mkiitwa makolokolo fc mnanuna! Shadeeya njoo uone jezi za mikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…