Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu mpya wa 2025/2026

Kuna ile jezi ina rangi za Orange zimeamdikwa "AstroPay" nazo naona watu wengi wanazivaa.
Hao wolverhampton jezi zao zimetamba sana mwaka jana. Nadhani walitoa kitu kikali kuliko timu kubwa ila mashabiki wa timu kubwa hatuwezi kuona ila wale mashabiki oya oya wanaweza kutofautisha jezi kali bila upendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…