Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu mpya wa 2025/2026

Hii ni thirdy au away kit bila shaka maana ni mbaya...

Ningependa kuona first kit yao yenye traditional colors red and white
Kama kuna msimu umetoa jezi mbovu basi ni huu... Hasa hasa wanaovalishwa nia Adidas hajataka kuumiza kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…