Siyo low quality bali ni crime. Ni kosa la jinai kwa sheria za Tanzania na pia ni kosa la jinai kwa sheria za kimataifa za hatimiliki na intellectual property.Hapa point yangu ni yeye kuheshimu kazi za wengine,siyo kuleta madharau,hiyo Low quality yeye kaijuaje? Maana anaongea utadhani yeye ananunua kwa designers moja kwa moja Paris,NW au Italy.Kumbe na yeye tunabanana hapa hapa kwenye maduka yetu yanayouza kama siyo China basi Nguo kutoka Turkey.Au ndiyo wale wakiingia kununua nguo Mr Price wanajiona wanavaa nguo ya standards ya juu.[emoji3][emoji3].
Kumbee eee... Ngoja nikainunue mana unanithibitishiabkuwa kitu ni OGJezi zinateleza kama Night dress
Yaah ni OG kwa ajili ya kulalia na usisahau kumchukulia na shemeji ili wote muwe vazi la kulalia kutoka simbaKumbee eee... Ngoja nikainunue mana unanithibitishiabkuwa kitu ni OG
Jezi za mmpira ni kawaida kuvuja mkuu unakuta team kabla haijatambulisha jezi picha zinakuwa zimesambaaHiyo jezi ya Simba ilikuwa lazima ivuje tu. Haiwezekani eti wazindue kesho jioni Dar halafu muda huo huo ipatikane Tanzania nzima. Isingewezekana kuisafirisha maelfu ya kilomita mikoani bila kutokea wajanja wachache wafanye yao hapa katikati.
Ushauri wa bure kwa Vunjabei na Simba kama kweli wanataka jezi zisivuje siku zijazo basi uzinduzi ufanyike Dar na mikoani kote zipatikane baada ya masaa 24/48. Kutaka jezi zipatikane mikoani siku hiyo hiyo zinapozinduliwa Dar kibongo bongo haiwezekani kwani janja janja wengi.
Nimeshangaa kauli ya Kamwaga, kwani Yanga ndiyo Vunja bei?Lawama kapewa Yanga.
View attachment 1922167
Naona msimu huu mmekuwa malalamiko fc.Simba kila siku mnakazi ya kumtafuta mchawi mmeanza na Manara, leo mnamtafuta mchawi aliyevujisha jezi, mkaamua zigo mumbebeshe Yanga. Ila ndani ya Simba kuna akina Kassim Dewji, wanagonga copy watakavyo na hawaguswi.
Unajua unachoongea wewe?sisi tunaongelea jezi fake zipo mtaani zinauzwa tena sio mbali hapo hapo Agrey na Mtaa wa Congo.Akili za utopolo bana.
Kwani hizi jezi alizihifadh wapi zisivuje? Tena siku moja kabla ya kuzindua? Ina maana yeye tu duniani mwenye alikua anajua ziliko na ana funguo zake? Hana wasaidizi??
By the way Jezi ina tundu la kuingizia kichwa na mikono, itaachaje kuvuja kwenye hayo matundu?
Kd yuko nyuma ya vunja bei mkuu,waliogopa kumpa tender kiwazi na uhl sport yake watu watasema timu ya ukooWakina Kassim si ndio wana hisa kwenye ile company ya mwanzo iliyonyimwa tender then akapewa Fred?
Duh hii ni kashfa kubwaKd yuko nyuma ya vunja bei mkuu,waliogopa kumpa tender kiwazi na uhl sport yake watu watasema timu ya ukoo
Wanajamvi nimeshtushwa sana kuuona uzi wa simba mitandaoni kabala ya tarehe husika ambayo ilikuwa ni tarehe4 na si leo tarehe3 huu mchezo mchafu unatuharibia soka letu.
🤣🤣🤣 wivu unakusumbua.