Kumbe hasira zilianzia huku...! Duh pole sana bullar kamari ni mchezo wa kubahatisha lakini pia ni mojawapo ya biashara za kitapeli na kimafia sana..Sina chuki nae hua namkubali sana tatizo lake ikifika swala la ushabiki hua anahama njia anaototeza facts za uongo uongo kuna kama mechi mbili za Yanga na Simba kani ingiza chaka kwa ujanja ujanja maelezo meengi kumbe ushabiki nikamfata kwenye mikeka kumbe hakuna kitu, basi atuambie timu yenye jezi nyepesi ili tuone tofauti maana kama nzito ipo na nyepesi ipo pia
Hebu nikumbushe jana walivaa jezi gani bullarUkweli ni kwamba mimi sio shabiki wa mpira hata huko kwenye jukwaa la sports hua napita nadra sana uongo wako ni kwamba hata jezi walio vaa jana sio ile ulio isema wewe ndio maana nasema fact's zako ni za kuunga unga
N:b Jezi walio vaa jana ndio hio walivaa kwenye ngao ya hisani wakashinda kubali tu hapa umepuyanga
Hiki ndicho nilichoandika na hiyo nayo ni mojawapoHii ndio walivaa jana na kwenye ngao je nayo ni nzito???View attachment 2431766
Tukiongelea mambo ya kichawi ambayo ndio ume specialise mara nyingi watu wakienda kwa waganga hua wana ambiwa walete vitu toka kwenye maeneneo yenye mkusanyiko wa watu mfano mtu ana ambiwa kalete mchanga wa sokoni etc nlitegemea ungesema hio ni powerfulHiki ndicho nilichoandika na hiyo nayo ni mojawapo
Kwa kutaka utofauti lakini bila kuzingatia mambo haya ya kiroho.. Timu ya Yanga msimu huu imekuja na jezi zilizoelemwa na michoro ya maeneo mbalimbali ya mji wa Dar na kwingineko na vitu vingjne pia vinavyowakilisha mpaka GPS nadhani[emoji3]..
Matokeo yake jezi kimwonekano inakuwa nyepesi lakini kiroho imelemewa mnoo
Kuna hii point ya rangi pia ambayo wengi wenu mmeiruka na kukimbilia vile mlivyoviona vitai down grade mada[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Kwenye rangi sio ishu tena kwakuwa waliozichagua walishazipitisha na zikapata kibali cha kiroho... Rangi ya kijani inawakilisha uhai na ni rangi yenye nguvu sana kiroho.. Hata hiki chama cha ccm kinaishi mpaka leo hii kwa kudra za kiroho za rangi ya kijani.. Soma vitabu hivi kama rejea Green Traveller na The Hog!
Yeah ulitegemea hivyo bullar kwakuwa huna elimu na ufahamu juu ya dhana nzima ya ushirikina na imani yakeTukiongelea mambo ya kichawi ambayo ndio ume specialise mara nyingi watu wakienda kwa waganga hua wana ambiwa walete vitu toka kwenye maeneneo yenye mkusanyiko wa watu mfano mtu ana ambiwa kalete mchanga wa sokoni etc nlitegemea ungesema hio ni powerful
Ndio tafsri ya jezi nzito? linda heshima yako mzee mshanaTIMU ya Simba imemaliza kibabe mzunguko wa kwanza Ligi Kuu baada ya kuichapa Coastal Union mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Mkwakwani ikifikisha pointi 34.
Mabao mawili ya Moses Phiri dakika ya 53, 61 na moja la Clatous Chama dakika ya 89 yametosha kuihakikishia Simba ushindi huo mbele ya Wagosi Wakaya.
Simba imependa kileleni mwa msimamo wa ligi ikifikisha pointi 34 baada ya michezo 15, miwili zaidi ya Yanga yenye 32.
Wagosi wa Kaya wameendelea kusalia nafasi ya 13 kwenye msimamo ikiwa na pointi 12 baada ya mechi 14.
Simba ililazimika kucheza pungufu baada ya kiungo wake Sadio Kanoute kuonyeshwa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu mchezaji wa Coastal.
FT: Coastal Union 0-3 Simba
[emoji460]οΈ' Chama
[emoji460]οΈ[emoji460]οΈ' Phiri.
Unawavurugaaa ahhaahaaKuna mahali nimesema hivyo? Kwanini hii mada inakuumiza sana? Games are just fantasies, don't get too much intrigued...!
Kaka Mshana Jr weka na picha ya George Mpole, maana furaha ya Simba na wapenzi wao ipo nje yao..!! Mpaka sasa ipo kwa Ihefu na bwana GeorgeRangi ya kijani inawakilisha uhai na ni rangi yenye nguvu sana kiroho.. Hata hiki chama cha ccm kinaishi mpaka leo hii kwa kudra za kiroho za rangi ya kijani.. Soma vitabu hivi kama rejea Green Traveller na The Hog!View attachment 2431916View attachment 2431917
Itafute..!! Mwombe kolo mwenzio GENTAMYCINEHiyo sina kaka