Jezi ya Yanga ni 'NZITO'

Jezi ya Yanga ni 'NZITO'

Sina chuki nae hua namkubali sana tatizo lake ikifika swala la ushabiki hua anahama njia anaototeza facts za uongo uongo kuna kama mechi mbili za Yanga na Simba kani ingiza chaka kwa ujanja ujanja maelezo meengi kumbe ushabiki nikamfata kwenye mikeka kumbe hakuna kitu, basi atuambie timu yenye jezi nyepesi ili tuone tofauti maana kama nzito ipo na nyepesi ipo pia
Kumbe hasira zilianzia huku...! Duh pole sana bullar kamari ni mchezo wa kubahatisha lakini pia ni mojawapo ya biashara za kitapeli na kimafia sana..
 
Ukweli ni kwamba mimi sio shabiki wa mpira hata huko kwenye jukwaa la sports hua napita nadra sana uongo wako ni kwamba hata jezi walio vaa jana sio ile ulio isema wewe ndio maana nasema fact's zako ni za kuunga unga
N:b Jezi walio vaa jana ndio hio walivaa kwenye ngao ya hisani wakashinda kubali tu hapa umepuyanga
Hebu nikumbushe jana walivaa jezi gani bullar

Je ni kati ya jezi zilizosajiliwa kutumika msimu huu?

View attachment 2431600
 
Hii ndio walivaa jana na kwenye ngao je nayo ni nzito???
296321542_444159864251389_3704326707530354948_n-1-810x1013-1.jpg
 
Hii ndio walivaa jana na kwenye ngao je nayo ni nzito???View attachment 2431766
Hiki ndicho nilichoandika na hiyo nayo ni mojawapo
Kwa kutaka utofauti lakini bila kuzingatia mambo haya ya kiroho.. Timu ya Yanga msimu huu imekuja na jezi zilizoelemwa na michoro ya maeneo mbalimbali ya mji wa Dar na kwingineko na vitu vingjne pia vinavyowakilisha mpaka GPS nadhani[emoji3]..
Matokeo yake jezi kimwonekano inakuwa nyepesi lakini kiroho imelemewa mnoo

Kuna hii point ya rangi pia ambayo wengi wenu mmeiruka na kukimbilia vile mlivyoviona vitai down grade mada[emoji1541][emoji1541][emoji1541]

Kwenye rangi sio ishu tena kwakuwa waliozichagua walishazipitisha na zikapata kibali cha kiroho... Rangi ya kijani inawakilisha uhai na ni rangi yenye nguvu sana kiroho.. Hata hiki chama cha ccm kinaishi mpaka leo hii kwa kudra za kiroho za rangi ya kijani.. Soma vitabu hivi kama rejea Green Traveller na The Hog!
 
Tukiongelea mambo ya kichawi ambayo ndio ume specialise mara nyingi watu wakienda kwa waganga hua wana ambiwa walete vitu toka kwenye maeneneo yenye mkusanyiko wa watu mfano mtu ana ambiwa kalete mchanga wa sokoni etc nlitegemea ungesema hio ni powerful
 
Yeah ulitegemea hivyo bullar kwakuwa huna elimu na ufahamu juu ya dhana nzima ya ushirikina na imani yake
 
Rangi ya kijani inawakilisha uhai na ni rangi yenye nguvu sana kiroho.. Hata hiki chama cha ccm kinaishi mpaka leo hii kwa kudra za kiroho za rangi ya kijani.. Soma vitabu hivi kama rejea Green Traveller na The Hog!
20221130_210821.jpg
20221130_210707.jpg
 
TIMU ya Simba imemaliza kibabe mzunguko wa kwanza Ligi Kuu baada ya kuichapa Coastal Union mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Mkwakwani ikifikisha pointi 34.

Mabao mawili ya Moses Phiri dakika ya 53, 61 na moja la Clatous Chama dakika ya 89 yametosha kuihakikishia Simba ushindi huo mbele ya Wagosi Wakaya.
Simba imependa kileleni mwa msimamo wa ligi ikifikisha pointi 34 baada ya michezo 15, miwili zaidi ya Yanga yenye 32.

Wagosi wa Kaya wameendelea kusalia nafasi ya 13 kwenye msimamo ikiwa na pointi 12 baada ya mechi 14.
Simba ililazimika kucheza pungufu baada ya kiungo wake Sadio Kanoute kuonyeshwa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu mchezaji wa Coastal.

FT: Coastal Union 0-3 Simba
⚽️' Chama
⚽️⚽️' Phiri.
 
[emoji460]️' Chama
[emoji460]️[emoji460]️' Phiri.
Ndio tafsri ya jezi nzito? linda heshima yako mzee mshana
 
Rangi ya kijani inawakilisha uhai na ni rangi yenye nguvu sana kiroho.. Hata hiki chama cha ccm kinaishi mpaka leo hii kwa kudra za kiroho za rangi ya kijani.. Soma vitabu hivi kama rejea Green Traveller na The Hog!View attachment 2431916View attachment 2431917
Kaka Mshana Jr weka na picha ya George Mpole, maana furaha ya Simba na wapenzi wao ipo nje yao..!! Mpaka sasa ipo kwa Ihefu na bwana George
 
Back
Top Bottom