Hizi je ๐๐Kweli za Yanga ni mbayaa
wewe unazionaje mjinga wewe๐๐Hizi je ๐๐View attachment 3461347
wewe unazionaje mjinga wewe๐๐
Swali je jezi huchukua ubingwa?Injinia Hersi unajulikana jinsi ulivyo Makini lakini katika hili UMEHARIBU . Wenzenu Simba Jezi zao ni nzuri sana na quality ya juu sana, kwanza zinavutia na ukivaa unapendeza.
Au jukumu la kutengeneza mlimuachia Ali Kamwe . Ukute katengenezea Kiboroloni kule Moshi WAKAPIGA HELA HAWA
Kolo kwenye kichakaInjinia Hersi unajulikana jinsi ulivyo Makini lakini katika hili UMEHARIBU . Wenzenu Simba Jezi zao ni nzuri sana na quality ya juu sana, kwanza zinavutia na ukivaa unapendeza.
Au jukumu la kutengeneza mlimuachia Ali Kamwe . Ukute katengenezea Kiboroloni kule Moshi WAKAPIGA HELA HAWA
Kwenye soka la Tanzania anachokifanya Yanga ndio anacho kifanya ccm ๐ฎEti engineer Yuko makini..kweli!!! Angekuwa makini asingeharibu siku ile ya harambee ya ccm
๐๐๐Kwenye soka la Tanzania anachokifanya Yanga ndio anacho kifanya ccm ๐ฎ
We unazionaje mtani......Hizi je ๐๐View attachment 3461347
Za Simba takaHizi je ๐๐View attachment 3461347
Ule mwekundu jana nilimnunulia mchumba ๐ wangu walahi mzuri sanaWe unazionaje mtani......
uzi wa motooo
๐๐๐๐Jezi za uto aisee ni mbayaaa kama chujio...nimekutana na mtu kavaa ya kijani kakabwa shingo huku chini ni kama rangi ya kijani imemwagwa....๐๐๐