Mwekundu uko motoo sana muongezee na wa blue...lazima apendeze...Ule mwekundu jana nilimnunulia mchumba π wangu walahi mzuri sana
Tunasubiri ligi ianze tuone hizo jezi zenu kama zItawasaidia kuepuka kipigo kingine.Injinia Hersi unajulikana jinsi ulivyo Makini lakini katika hili UMEHARIBU . Wenzenu Simba Jezi zao ni nzuri sana na quality ya juu sana, kwanza zinavutia na ukivaa unapendeza.
Au jukumu la kutengeneza mlimuachia Ali Kamwe . Ukute katengenezea Kiboroloni kule Moshi WAKAPIGA HELA HAWA
Hiyo jezi umeishika mkononi? au unaongea kama unajamba?Injinia Hersi unajulikana jinsi ulivyo Makini lakini katika hili UMEHARIBU . Wenzenu Simba Jezi zao ni nzuri sana na quality ya juu sana, kwanza zinavutia na ukivaa unapendeza.
Au jukumu la kutengeneza mlimuachia Ali Kamwe . Ukute katengenezea Kiboroloni kule Moshi WAKAPIGA HELA HAWA
Yaani yanga unaifananisha na hii jezi mbele kama nyumaInjinia Hersi unajulikana jinsi ulivyo Makini lakini katika hili UMEHARIBU . Wenzenu Simba Jezi zao ni nzuri sana na quality ya juu sana, kwanza zinavutia na ukivaa unapendeza.
Au jukumu la kutengeneza mlimuachia Ali Kamwe . Ukute katengenezea Kiboroloni kule Moshi WAKAPIGA HELA HAWA
Injinia Hersi unajulikana jinsi ulivyo Makini lakini katika hili UMEHARIBU . Wenzenu Simba Jezi zao ni nzuri sana na quality ya juu sana, kwanza zinavutia na ukivaa unapendeza.
Au jukumu la kutengeneza mlimuachia Ali Kamwe . Ukute katengenezea Kiboroloni kule Moshi WAKAPIGA HELA HAWA
Itakuwa wewe ni mmojawapo mlioaminiwa kutengeneza jezi za Yanga mkapiga hela. Mmetengeneza jezi mbaya yaani hata bure sivai mimi. Pumbavu zenuHiyo jezi umeishika mkononi? au unaongea kama unajamba?