Jezi za Yanga za kwenye matangazo ni tofauti na zilizopo madukani

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Nazungumzia ile jezi ya 3 ambayo kwenye tangazo imevaliwa na mdada inaonekana kama blue au dark blue lakini ukienda dukani ni nyeusi. Nimehisi zimetoka rangi mbili tofauti pengine.
95DF27BC-28B5-41BE-8F5B-16F0CC2CD80C.jpeg
1F3759D3-D842-474C-8756-444506BBCA30.jpeg
8658348B-AB19-458C-B496-3C9D00EBE848.jpeg
1A35FC5F-219C-48DD-A744-3431C1148E09.jpeg
AFF9CB80-C29A-448E-8B2A-67D1DDC73CAA.jpeg
A19CC391-7E9F-4FF5-972E-CAAE48B6384A.jpeg
 
Hii nyeusi/blue ingekuwa nzuri zaidi Kama wasingeweka huo mkanda wa reflector huko chini.

Ukivaa unakuwa Kama madereva wa malori ya Raphael na zile jezi zao zenye mkanda wa reflector kwa chini .

Alafu imekaa ki-feminism,no wonder kwenye promo ya ile video aliyevaa ni pisi kali. Sitarajii wanaume wengi kuvaa hiyo jezi.
 
Reflector🤣🤣🤣
 
Kukosoa ni kazi nyepesi sana
 
Back
Top Bottom