Jezi za Yanga za kwenye matangazo ni tofauti na zilizopo madukani

Jezi za Yanga za kwenye matangazo ni tofauti na zilizopo madukani

Aliyebuni kazidisha makeke, urembo wa chini haukuwa na maana yeyote kuuweka. Jezi nzuri, sema zimezidishwa mbwembwe.
Zinanunuliwa kama njugu, leo zimevaliwa sana 🖤💚💛

#Sisi ndiyo mabingwa wenu....
#Since 1935...
Mabingwa wetu mara 22 na mwakani tunakuwa sawa
 
20230707_090329.jpg
 
Jezi zetu mpya ni nzuri kama Yanga yenyewe ya makombe!
Makolo hebu tupumzisheni basi japo kidogo! Hata tukibeba world cup bado mtatuponda tu!
 
Ile jezi nyesi ya Yanga huwavuruga watu sana akili hasa kwa vile mwonekano wake utegemea na ambient light. Ukiitanzama ndani ya nyumba kwenye Fluorescent light inakuwa ni nyesui sana ukiitazama nje kwenye sunlight inakuwa ya bluu. Inabidi tuizowee hivyo.
 
Back
Top Bottom