Jezi za Yanga za kwenye matangazo ni tofauti na zilizopo madukani

Jezi za Yanga za kwenye matangazo ni tofauti na zilizopo madukani

Alooo acha tusubiri sanda zenu.
 
Jezi zina shanga kiunoni,

Hii mitambara hunivalishi hata uniwekee bastola kichwani, Bora uniue
 
Nishanunua yangu🤣
F71C4F3B-23A4-4360-945B-2AC58262D093.jpeg
 
Hii nyeusi/blue ingekuwa nzuri zaidi Kama wasingeweka huo mkanda wa reflector huko chini.

Ukivaa unakuwa Kama madereva wa malori ya Raphael na zile jezi zao zenye mkanda wa reflector kwa chini .

Alafu imekaa ki-feminism,no wonder kwenye promo ya ile video aliyevaa ni pisi kali. Sitarajii wanaume wengi kuvaa hiyo jezi.
Hahaaaaa, wacha majungu bro.
 
Jezi nzuri ya Uto ni ya msimu ulioisha. Hapa hakuna kitu
 
Aliyebuni kazidisha makeke, urembo wa chini haukuwa na maana yeyote kuuweka. Jezi nzuri, sema zimezidishwa mbwembwe.
Zinanunuliwa kama njugu, leo zimevaliwa sana 🖤💚💛

#Sisi ndiyo mabingwa wenu....
#Since 1935...
 
Hadi we una malalamiko, kweli mbunifu kazingua. Ila hata za msimu uliopita tuliwaambia jezi zenu zina mambo mengi, jezi huwa ni simple tu. Sasa mbunifu kayaondoa makorokoro yote vifuani na migongoni kayaweka yote chini ya jezi 😀😀😀
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kama waimba ngonjera. Sizivai hizo, nitavaa ya kijani na njano tu. Ila madunduka mmepata pa kuchekea waone 😄😄😄😄😄
 
Back
Top Bottom