Jezi za Yanga za kwenye matangazo ni tofauti na zilizopo madukani

Hii nyeusi/blue ingekuwa nzuri zaidi Kama wasingeweka huo mkanda wa reflector huko chini.

Ukivaa unakuwa Kama madereva wa malori ya Raphael na zile jezi zao zenye mkanda wa reflector kwa chini .

Alafu imekaa ki-feminism,no wonder kwenye promo ya ile video aliyevaa ni pisi kali. Sitarajii wanaume wengi kuvaa hiyo jezi.
 
Reflector🤣🤣🤣
 
Kukosoa ni kazi nyepesi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…