Jezi za Yanga za kwenye matangazo ni tofauti na zilizopo madukani

Alooo acha tusubiri sanda zenu.
 
Jezi zina shanga kiunoni,

Hii mitambara hunivalishi hata uniwekee bastola kichwani, Bora uniue
 
Hahaaaaa, wacha majungu bro.
 
Jezi nzuri ya Uto ni ya msimu ulioisha. Hapa hakuna kitu
 
Aliyebuni kazidisha makeke, urembo wa chini haukuwa na maana yeyote kuuweka. Jezi nzuri, sema zimezidishwa mbwembwe.
Zinanunuliwa kama njugu, leo zimevaliwa sana πŸ–€πŸ’šπŸ’›

#Sisi ndiyo mabingwa wenu....
#Since 1935...
 
Aliyebuni kazidisha makeke, urembo wa chini haukuwa na maana yeyote kuuweka. Jezi nzuri, sema zimezidishwa mbwembwe.
Zinanunuliwa kama njugu, leo zimevaliwa sana πŸ–€πŸ’šπŸ’›

#Sisi ndiyo mabingwa wenu....
#Since 1935...
Hadi we una malalamiko, kweli mbunifu kazingua. Ila hata za msimu uliopita tuliwaambia jezi zenu zina mambo mengi, jezi huwa ni simple tu. Sasa mbunifu kayaondoa makorokoro yote vifuani na migongoni kayaweka yote chini ya jezi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 kama waimba ngonjera. Sizivai hizo, nitavaa ya kijani na njano tu. Ila madunduka mmepata pa kuchekea waone πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…