Mabingwa wetu mara 22 na mwakani tunakuwa sawaAliyebuni kazidisha makeke, urembo wa chini haukuwa na maana yeyote kuuweka. Jezi nzuri, sema zimezidishwa mbwembwe.
Zinanunuliwa kama njugu, leo zimevaliwa sana π€ππ
#Sisi ndiyo mabingwa wenu....
#Since 1935...
Thubutu, msahau kabisa. Ule utepe chini wa jezi mpya, ile ni alama ya ushindi mfululizo πππππMabingwa wetu mara 22 na mwakani tunakuwa sawa
Mimi siwezi kusifia jezi hayo watafanya vijana. Mimi nasema uhalisia jezi ya msimu ulioisha ya Uto ilikuwa mzuri.Msimu ulioisha ulisifia?
Usiseme zeruzeru...sema jina lake Tu inatosha..Kwanza kwa wanavyopenda sifa na yule zeruzeru wao, ni mshangao hawakuita media zizindue kama mwaka jana.