Jezi zilizokamatwa sio feki ni michezo ya Kariakoo, Sandaland kazidiwa maarifa

Hahahahaha
 
Sasa unataka nisiilewe michezo ya kwetu, home ground?

Hapo hata kama sipo, simu moja tu, kila kitu kipo wazi.

Mtu kama hawajuwi watoto na wajukuu zake huyo anatakiwa awe mochwari kama mleta mada.
Kariakoo gani unaijua wewe,?leo kariakoo inamilikiwa na wageni

Mmeuza viwanja kwa wakinga,wasomali na wahindi sasa mnalia lia huko mashambani

Wazaramo na nyumba zao za udongo zilishaisha kariakoo

Utampigia simu mkinga au muhindi?Unafikiri wakinga na wahindi ni wambea
 
Hakuna.

Game la hapo hapo Kariakoo Hilo, tuulizeni tuwajulishe.

Maana hata tukiyaweka wazi hakuna wa kuwafanya kitu waliocheza hiyo game.
Hakuna mchezo uliochezwa ,kariakoo yote imejaa bidhaa za kichina tena malonya lonya tu ,Unavaa siku moja ukifua imechanika

Kuagiza copy kariakoo ndio taratibu zao

Kuna brand za GUcci feki,Brand za reebook face mpaka addidas fake
 
Kuzaliwa Dar na kujua misheni zake ni vitu viwili tofauti kabisa, ndio maana mmeulizwa nani mzaliwa wa Kariakoo ni billionaire wa biashara hapohapo Kariakoo.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mchezo uliochezwa ,kariakoo yote imejaa bidhaa za kichina tena malonya lonya tu ,Unavaa siku moja ukifua imechanika

Kuagiza copy kariakoo ndio taratibu zao

Kuna brand za GUcci feki,Brand za reebook face mpaka addidas fake
Nimecheka kweli aliposema jezi nyingi zinatengenezwa/kushonwa hapa hapa Bongo lakini ameshindwa kuonesha walau kiwanda kimoja kinachofanya hiyo kazi [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza jezi nyingi sana sasa hivi zinatngenezwa hapahapa Tanzania. Zinazoletwa kutoka nje ni kidogo sana,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uuuuwiii haya onesha/taja kiwanda kimoja tu kinachotengeneza hizo jezi...

Yaani kuwe na kiwanda cha jezi bongo tusikijue wengine wote ukijue wewe faizafix pekeyako?
Unadhani jezi ni sawa na sare za shule zinazoshonwa viwanda vya Manzese na Tandika na kubandikwa chata za TOMATO nk?
Kawaongopee wajukuu zako hapo kwako na sio huku kwa watu wanaojitambua na kuhoji vitu
Mwenyewe umejitutua kweli na kujifanya unajua kumbe huna ujuayo zaidi ya upuuzi na kuungaunga vistory vya kutunga na kuokoteza huku na kule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo hakuna kiwanda kinachoweza tengeneza jezi kwa uwingi ule kirahisi.
 
Kwamba eti nyingi zinatengenezwa bongo chache zinaagizwa nje.. Faizafix nadhani anaumwa maruhani mabaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo viumbe waliozaliwa Dar wanajifanyaga kujua mambo mengi ila washamba kinoma. Wanachojua ni ngono, Simba, Yanga, dini na siasa hasa za CUF na CCM. Binafsi huwa nikitafuta madogo wa kazi nakosaga imani akiniambi ni mzaliwa na kakulia Dar.
 
Ndio mitumba mbeya ni rahisi kuliko Dar.Inauzwa pale Sido🤣🤣🤣🤣💺
Ukubwa wa Bei ya belo DSM unawez kuwa unasababishwa na vitu vingi. Moja ni renting fee ya city center
 
Unamaliza MB zako kuwajibu mtu asiye na maana,hebu achana nae kwani ukimuendekeza anatuharibia thread.
 
Kuzaliwa Dar na kujua misheni zake ni vitu viwili tofauti kabisa, ndio maana mmeulizwa nani mzaliwa wa Kariakoo ni billionaire wa biashara hapohapo Kariakoo.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo ulipoonsha upoyoyo wa hali ya juu kabisa.

Hakuna mzaliwa wa kariakooambae ni mwanjo mwanjo kujionesha kuwa "mimi billionaire", ukimuonawa hivyo ujuwe huyo wa kuja tu.

Wewe ukija tu Dar utaitangazia dunia kuwa leo nipo Dar, seuse ukipata pesa ya kuwa na duka Dar. Tofauti ndiyo hiyo.

Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
 
Hakuna mchezo uliochezwa ,kariakoo yote imejaa bidhaa za kichina tena malonya lonya tu ,Unavaa siku moja ukifua imechanika

Kuagiza copy kariakoo ndio taratibu zao

Kuna brand za GUcci feki,Brand za reebook face mpaka addidas fake
Kariakoo ione kama ilivyo tu, watu wa wa kariakoo wana viwanda siyo vya T shirts tu, mpaka vingine havasemeki. Na wenyewe kimya, kama siyo wao.

Nimekwambia hizo za kufyatuliwa China zipo, lakini wajanja washaondoka huko, wanajazana wakuja tu, wajanja wa Kariakoo wana viwanda vyao hapohapo Dar ambavyo huvifikirii wala kuviota na vipo kihalali kabisa.

Labda niwakumbushe kidogo, hivi hamjawahi kusikia sakata la Manji na nguo za jeshi? Mnafikiri lizitoka nje ya Tanzania zile?

Mtajaza wenyewe.
 
Wewe ukija tu Dar utaitangazia dunia kuwa leo nipo Dar
Hawa ndiyo wale wakati hana kitu anakuwa mpole akifanikiwa kupata kuliko wenzake anaanza kujiona yeye ana akili sana kuliko wenzake!

Wenzake wakimpita kidogo anaanza kujaa chuki, hasira,wivu, husuda, kijiba n.k mbona fulani amepata na siyo mimi! Huwa wanapenda mashindano ya kishamba sana! Hawajui maana ya wakati!
 
Sasa niwapasulie jipu.


Vyanzo vyangu vimenambia, hizo jezi ni za Sandaland wenyewe, hakuna mwengine. Wenyewe wamecheza game likabuma, baada ya kustukiwa sasa wanajiosha. Nalo pia kwa uelekewa wafanye nini.

Wamewatafutia watu ulaji wa kijinga, ilikuwa wakae chini na Simba, waziingize kwenye hesabu yaishe, wakaona hiyo ni hasara heri wajiripuwe wenyewe wagawane juu kwa juu.

Hapo hakuna kuzidiwa akili, wamejidai wajanja wao kuwazidi akili watoto wa mjini. Wamestukiwa sasa watoto haohao wa mjini ndiyo wanawasukia mambo.

Vijana wa Kariakoo wahuni sana, sassa wanawapiga kote kote. Wakigeuka hivi wanalo wakigeuka vile wanalo.
 
Exactly, tunasema wana roho za Kichawi.
 
Tatizo viumbe waliozaliwa Dar wanajifanyaga kujua mambo mengi ila washamba kinoma. Wanachojua ni ngono, Simba, Yanga, dini na siasa hasa za CUF na CCM. Binafsi huwa nikitafuta madogo wa kazi nakosaga imani akiniambi ni mzaliwa na kakulia Dar.
Ujuaji wa kishamba sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kafiee mbele umbwa koko wewe.. Huna unachojua kiazi mbatata wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weee nguruwee ni muongo mpaka unakera..taarifa gani umezipata kima wewe.. Unapayuka tu na kurukaruka tu kama kuku wa kideri


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…