Kwanza jezi nyingi sana sasa hivi zinatngenezwa hapahapa Tanzania. Zinazoletwa kutoka nje ni kidogo sana,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uuuuwiii haya onesha/taja kiwanda kimoja tu kinachotengeneza hizo jezi...
Yaani kuwe na kiwanda cha jezi bongo tusikijue wengine wote ukijue wewe faizafix pekeyako?
Unadhani jezi ni sawa na sare za shule zinazoshonwa viwanda vya Manzese na Tandika na kubandikwa chata za TOMATO nk?
Kawaongopee wajukuu zako hapo kwako na sio huku kwa watu wanaojitambua na kuhoji vitu
Mwenyewe umejitutua kweli na kujifanya unajua kumbe huna ujuayo zaidi ya upuuzi na kuungaunga vistory vya kutunga na kuokoteza huku na kule
Sent using
Jamii Forums mobile app