Tunashukuru sana kukujua dada/kaka Nightingale...Kumbe mpendwa upo Atown na hatujuani?...Karibu mkuu..mi naitwa Nditoo, namiaka arubaini, nakaa kwa murombo. Asanteni
Cheusi, usianze kutufanya tupate heart attack!...Hivi unajua kwenye utu uzima haitakiwi kushitua wenzako eeh?...Acha utani bana,...nilishakwambia namba yako ya siti ni C3, na kwenye siti ya watu 3 wewe kushoto, Wiselady kulia, katikati MFAMAJI...
Naamini Mungu atasimama upande wako na wetu pia, maana jambo hili si lenye nia mbaya, bali ni la upendo na mahusiano mema.kakangu yote yako mikononi mwa Mungu mana roho itaniuma mtu mwingine kukalia siti yangu,maana naamini mazungumzo yangu na hizo mtu mbili za kulia na katikati yangekuwa ya manufaa kwangu.
Mkuu wangu, nashukuru kwa angalizo ulilolitoa.Hilo ni wazo zuri tutalifanyia kazi, wacha tuangalie ratiba ya hizi sikukuu unajua tuna watoto eti wanatoka mashuleni, wote sio vijana.
Lakini ni vizuri hata mkiandaa tukutane mahali pazuri hapa A Town tupange vizuri!!!!!!!!!! Mbarikiwe!
.. Lmao haha saitaChristopher......nimeshukuru kukufahamu....mimi naomba nijitambulishe rasmi hata kabla ya safari......kwa jina naitwa Perpetua Sarwat Gwandu......ninaishi Yaeda....ni katibu muhtasi makao makuu ya Yaeda......jamani naomba nisiulizwe tena siku hiyo.....labda kama kuna mtu atakuwa anataka muhtasari wa maendelea ya Yaeda
\Mkuu, sababu yako binafsi ina mashiko kabisa hii!...Kwakweli kama una dili kama hilo, shughulikia kwanza ndo jioni uondoke!KWAKO PIIJEEI!.......
nimefurahi sana kuona mchakato wa kufanya tour bado upo INTACT...!
kuhusu ni siku gani muafaka ya kuwa arachuga na siku gani muafaka ya kufanya tour hapo ndo shida kidogo.
kwamba tar 26/12/2010 siku ya jumapili tuwe safarini kuja arachuga hapo mimi ndo napata shida kidogo.Na shida yangu ni kwamba the very same day nitakuwa na ubatiza wa mtoto.....!
I AM CONFUSED
Ndo nini hii tena?
PJ namsalimia Preta kinyumbani kakaNdo nini hii tena?
Preta mnyongoroto hujaacha 2 ndg yangu tangu tunasoma yaeda? Lol MUNGU ajalie hii safari nahisi ntahitaji mbavu za kuchonga!Lmao...kwamba anapenda sana malimao.......saita...maana yake nitakwambia tukifika Karatu
KWAKO PIIJEEI!.......
nimefurahi sana kuona mchakato wa kufanya tour bado upo INTACT...!
kuhusu ni siku gani muafaka ya kuwa arachuga na siku gani muafaka ya kufanya tour hapo ndo shida kidogo.
kwamba tar 26/12/2010 siku ya jumapili tuwe safarini kuja arachuga hapo mimi ndo napata shida kidogo.Na shida yangu ni kwamba the very same day nitakuwa na ubatiza wa mtoto.....!
I AM CONFUSED
dada msindima, yaani nilikuwa ndo nataka kukupigia ndo unanikatiza. ..Shida yako huingii mno kwenye mtandao... mambo ndo kama hivyo bidadaangu. ebu confirm na mimi kama tutakuwa pamoja, nakusikilizia.Kaka mbona hujanijulisha huu mpango?
Umwambie na maana ya firirii gwarai. Teh teh teh.Lmao...kwamba anapenda sana malimao.......saita...maana yake nitakwambia tukifika Karatu
PJ namsalimia Preta kinyumbani kaka
.. Lmao haha saita