Jf-arusha wing...safari updates

Jf-arusha wing...safari updates

mi naitwa Nditoo, namiaka arubaini, nakaa kwa murombo. Asanteni
Tunashukuru sana kukujua dada/kaka Nightingale...Kumbe mpendwa upo Atown na hatujuani?...Karibu mkuu..
Sasa mpango wako ninini juu ya hili suala?...utakuwemo kwenye safari yetu?..Kama utakuwepo fanya mpango ututafute, nakutumia namba kwenye PM yako ili uipatapo utupe mawasiliano yako, tukutane tujue la kufanya...
Nadhani umenipata...
 
Cheusi, usianze kutufanya tupate heart attack!...Hivi unajua kwenye utu uzima haitakiwi kushitua wenzako eeh?...Acha utani bana,...nilishakwambia namba yako ya siti ni C3, na kwenye siti ya watu 3 wewe kushoto, Wiselady kulia, katikati MFAMAJI...

kakangu yote yako mikononi mwa Mungu mana roho itaniuma mtu mwingine kukalia siti yangu,maana naamini mazungumzo yangu na hizo mtu mbili za kulia na katikati yangekuwa ya manufaa kwangu.
 
kakangu yote yako mikononi mwa Mungu mana roho itaniuma mtu mwingine kukalia siti yangu,maana naamini mazungumzo yangu na hizo mtu mbili za kulia na katikati yangekuwa ya manufaa kwangu.
Naamini Mungu atasimama upande wako na wetu pia, maana jambo hili si lenye nia mbaya, bali ni la upendo na mahusiano mema.
BBLESSED DEAR!
 
Hilo ni wazo zuri tutalifanyia kazi, wacha tuangalie ratiba ya hizi sikukuu unajua tuna watoto eti wanatoka mashuleni, wote sio vijana.
Lakini ni vizuri hata mkiandaa tukutane mahali pazuri hapa A Town tupange vizuri!!!!!!!!!! Mbarikiwe!
Mkuu wangu, nashukuru kwa angalizo ulilolitoa.
Lakini naomba nikujuze kuwa katika members wa JF unaowafahamu au kutowafahamu, kwa uzoefu wangu niseme kuwa asilimia 70 ni married, na wanaobaki ndo unmarried.
Hivyo elewa wazi kwamba unaongea na wakubwa wenzio, na kwamba wote tuna majukumu makali sana...
Lakini kwa vile nalo hili lina maana yake, huenda sio very directly kama ambavyo wengi wanapenda iwe, lakini utakuja gundua huko mbele ya safari kuwa itaweza kukusaidia one way another, milima haikutani.
Mpango wetu, kama unasoma updates ni kukutana Jumanne, tarehe 14/12 saa 11jioni, venue imetumwa kwenye PM yako, na kama hukupata, basi utapata sasa hivi...
Naomba responce kama utakuwa tayari.
Pamoja mkuu!
 
Christopher......nimeshukuru kukufahamu....mimi naomba nijitambulishe rasmi hata kabla ya safari......kwa jina naitwa Perpetua Sarwat Gwandu......ninaishi Yaeda....ni katibu muhtasi makao makuu ya Yaeda......jamani naomba nisiulizwe tena siku hiyo.....labda kama kuna mtu atakuwa anataka muhtasari wa maendelea ya Yaeda
.. Lmao haha saita
 
KWAKO PIIJEEI!.......
nimefurahi sana kuona mchakato wa kufanya tour bado upo INTACT...!

kuhusu ni siku gani muafaka ya kuwa arachuga na siku gani muafaka ya kufanya tour hapo ndo shida kidogo.

kwamba tar 26/12/2010 siku ya jumapili tuwe safarini kuja arachuga hapo mimi ndo napata shida kidogo.Na shida yangu ni kwamba the very same day nitakuwa na ubatiza wa mtoto.....!
I AM CONFUSED
 
i think i have an idea.....!
naomba nisidisturb ANY EQUILIBRIUM SO FAR....!nitakuja lakin will be late

lazima nishiriki misa ya ubatizo
 
KWAKO PIIJEEI!.......
nimefurahi sana kuona mchakato wa kufanya tour bado upo INTACT...!

kuhusu ni siku gani muafaka ya kuwa arachuga na siku gani muafaka ya kufanya tour hapo ndo shida kidogo.

kwamba tar 26/12/2010 siku ya jumapili tuwe safarini kuja arachuga hapo mimi ndo napata shida kidogo.Na shida yangu ni kwamba the very same day nitakuwa na ubatiza wa mtoto.....!
I AM CONFUSED
\Mkuu, sababu yako binafsi ina mashiko kabisa hii!...Kwakweli kama una dili kama hilo, shughulikia kwanza ndo jioni uondoke!
Lakini naomba ujue kwamba ni jukumu lako kufanya ORGANIZATION na kuhakikisha kwamba wengineo wanaungana na MWENYE NYUMBA KUJA aRACHUGA, msimwache peke yake njiani bana!

Lmao...kwamba anapenda sana malimao.......saita...maana yake nitakwambia tukifika Karatu
Preta mnyongoroto hujaacha 2 ndg yangu tangu tunasoma yaeda? Lol MUNGU ajalie hii safari nahisi ntahitaji mbavu za kuchonga!
 
KWAKO PIIJEEI!.......
nimefurahi sana kuona mchakato wa kufanya tour bado upo INTACT...!

kuhusu ni siku gani muafaka ya kuwa arachuga na siku gani muafaka ya kufanya tour hapo ndo shida kidogo.

kwamba tar 26/12/2010 siku ya jumapili tuwe safarini kuja arachuga hapo mimi ndo napata shida kidogo.Na shida yangu ni kwamba the very same day nitakuwa na ubatiza wa mtoto.....!
I AM CONFUSED

Hivi anabatizwaje mtoto kabla kaka mkubwa hajaambiwa? Matesha alibatizwa tarehe 26/12. What a coincidence lol!
 
Kaka mbona hujanijulisha huu mpango?
dada msindima, yaani nilikuwa ndo nataka kukupigia ndo unanikatiza. ..Shida yako huingii mno kwenye mtandao... mambo ndo kama hivyo bidadaangu. ebu confirm na mimi kama tutakuwa pamoja, nakusikilizia.
 
PJ namsalimia Preta kinyumbani kaka

Heee madam oga naskia utanikimbia, unaenda kujumuikwa na wana Jf wa A town, sijui nipitie huko, tarehe zikikaa sawa ningependa kuwajoin.
 
Back
Top Bottom