PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,199
- 8,761
- Thread starter
- #221
Tunashukuru sana kukujua dada/kaka Nightingale...Kumbe mpendwa upo Atown na hatujuani?...Karibu mkuu..mi naitwa Nditoo, namiaka arubaini, nakaa kwa murombo. Asanteni
Sasa mpango wako ninini juu ya hili suala?...utakuwemo kwenye safari yetu?..Kama utakuwepo fanya mpango ututafute, nakutumia namba kwenye PM yako ili uipatapo utupe mawasiliano yako, tukutane tujue la kufanya...
Nadhani umenipata...