Umeanza lini kunipenda? Na kipi kilichokuvutia na kukusukuma mpk ukanipenda kiasi hiko??Nakupenda sana ww mwanamke, kuna wakati nakuwaza mpaka nahisi kuwa kama chizi
Muombe hela akimbie.....Umeanza lini kunipenda? Na kipi kilichokuvutia na kukusukuma mpk ukanipenda kiasi hiko??
Sis Eve ushamshtua πππMuombe hela akimbie.....
Kama unaona pesa n muhimu sana kwenye mahusiano yetu bc njoo nazoSis Eve ushamshtua πππ
Nilitaka aingie kwenye mfumo kwanza nimmalize ngebe zote. Basi tenaaaahh.!!
Nmekupenda tangu siku ya kwanza kuona comment yako πUmeanza lini kunipenda? Na kipi kilichokuvutia na kukusukuma mpk ukanipenda kiasi hiko??
Unataka maubuyuu gani uduguu ake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimefika uduguu wangu haya nipe maubuyu hafu nikuchekeshe [emoji23][emoji23][emoji23]
Bila pesa hakuna mapenzi ni kutesana na kudanganyaKama unaona pesa n muhimu sana kwenye mahusiano yetu bc njoo nazo
Mpe hela sasa aongeze comments ziwe nyingiNmekupenda tangu siku ya kwanza kuona comment yako π
Bi harusi machepele πΉUnamkumbuka yule aliyeachwa kabla ya harusi kwa sababu ety ya nuksi za wanaJF, sasa babe wangu Lamomy nae hy nuksi itampata mana nyie vigagula wa JF mnawanga sana.
Comment ilikuwa inahusu nini? Na ilikugusa kitu gani kilichokuvutia?Nmekupenda tangu siku ya kwanza kuona comment yako π
Ewaaaaahh ππππMpe hela sasa aongeze comments ziwe nyingi
Wa kuhusu boss la dp world, halafu jana nilimuona sehemu πππUnataka maubuyuu gani uduguu ake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unawashirikisha vigagula akina Evelyn Salt unategemea nn ππππ Acha hizo wewe
Yani anaforce wakati pesa hana πππUduguu nimechekaa had baas.
Sawa ila twende ado ado sasaBila pesa hakuna mapenzi ni kutesana na kudanganya