JF Chat: All members chat

Nakusubiri luv. Ila ajue mimi ni kichaa na mwehu hee. Siku nitaamka na nitaweka list hao wafungue pm zao, niwape wanayosemwa yote. Ngoja acheze na hiki kichwa. Habari ataipata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kinachonichekesha wakishindwa, wanaenda report kwa modes watoe Ban, mchapoo wotee tunao.

Ndo maana sometimes huwa tunapuuza, woiiiiih
 
Humu yawezekana Kuna syndicate flan ya watu mnajuana au mna magroup yenu ya pembeni maana asubuhi nkilogin nakuta ban zimetembea wengine mnaulizana umenusurikaje😁mnakua mnafanyaje?
Mkuu humu wakiwa hawana hoja huishia kutoa matusi kwa wenzao kitu ambacho jf haitakiwi hii forums ni nzuri sana ila wapo wanao haribu kwa matusi hii forum
 
Humu yawezekana Kuna syndicate flan ya watu mnajuana au mna magroup yenu ya pembeni maana asubuhi nkilogin nakuta ban zimetembea wengine mnaulizana umenusurikaje😁mnakua mnafanyaje?
Kuna ujinga, nami nilivoona hayo nikajitoa. Toka mwaka jana sikuwa humu. Sasa mtu kaona kapotezewa ndiyo anatuma watu kama hivyo, wakudhalilishe na kutukana. Si kujuana nje ya JF No. Alitaka tuonane nje ya JF nikamtolea nje. Hasira anamalizia hapo, kakosa la kuja kuoeleka umbea πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Bora nilivyofunga pm kuepuka ugomvi wa mara kwa mara
 
Sema watu mna mambo mengi😁, ila kama umemjua wa hvo kwanini anakuharibia siku mapema hvo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…