Yote kheriπ€£πsasa si utakuwa mwekundu...π€£
Humu matani mengiπUmeamua kuamisha majeshi ghafla ππ
Hahahahautauliwa wewe mapenzi sio kilimo siku 14 hata mbegu zishaota shauli yako...π
Nacheka kama mazuriumedanganywa! ngoja ukatolewe kizazi...π
Hahahahaitakuwa hiviView attachment 3035525
Kungwi tena??Ndio kwa mujibu WA kungwi wangu
Unafikir nilikuwa najua basi mi mwenzio mgeni wa haya mambo..
Ila huyu kungwi kanifumbua macho yani ni ana madini balaa
Uko wapi nije?Kungwi tena??
Ungekuja kwangu nikakupa maujanja
nimeshafika ngoja nianze ku pa- study πππ
Sijambo mzee wa hall 5. Weekend imeendaje. Mimi ndiyo naimalizia hapa sumbai
Pole, ni la mbeya ama njombeHili baridi sio mchezo..!_π₯Έ
Nikitaka kukupea temp ndo wewe huniona wakiHili baridi sio mchezo..!_π₯Έ