JF Chat: All members chat

Hizo za saizi ndo tamu!..

Hivi kwanini wanajf kila linapokuja swala la kuumizwa na mapenzi mimi ndo nimekuwa wa mfano..? Imefika hatua Sasa mpk nimechoka..[emoji28]
Sio wewe tu. Kuna watu tuliumizwa vibaya sana ila kwa kuwa hatujasema ndio maana unadhani ni wewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…