Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,796
- 10,646
Kwenye Huu Uzi KENZY nakufananisha na Ukraine[emoji1787]View attachment 2129706
Sent using Jamii Forums mobile app
Na KENZY kuachwa ni kila siku kama dawa vile
Tumtafutie kashamba akalime kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye Huu Uzi KENZY nakufananisha na Ukraine[emoji1787]View attachment 2129706
Sent using Jamii Forums mobile app
KwendraaaLabda mpaka wanitangazie TBC hiyo habari..?😂
Mpaka sasa hivi sijui hata kwa nini tunaishi yaan!!
Nipo hapa ofisin... Yaan nipo mpweke sana.... Ngoja nienjoy hapa
Kwenu wapi nije mda huu ???[emoji28][emoji28][emoji28]Plus hii baridi njoo kwetu tuu[emoji23][emoji23][emoji23]
No kuachwa sio ishu tena siku hiziUmeachwa mkuu?[emoji23]
Asante sana.Pole sana ...
Natumaini kila kitu kitaenda sawa .
Hapana mkuu.[emoji849] Mkuu unatutisha funguka au ni siri leta hata kimafumbo tu
Sio wewe tu. Kuna watu tuliumizwa vibaya sana ila kwa kuwa hatujasema ndio maana unadhani ni wewe tuHizo za saizi ndo tamu!..
Hivi kwanini wanajf kila linapokuja swala la kuumizwa na mapenzi mimi ndo nimekuwa wa mfano..? Imefika hatua Sasa mpk nimechoka..[emoji28]
AmenAsante sana.
Naam itakuwa sawa tuu punde
Poa rafikiTin Mambo..?
Broo niseme tuu ukubwa Jalala.Mkuu hebu funguka ndugu nini mbaya mbovu ilikukuta..?