JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Ulivyojiunga jf hakuna kipindi status ilisoma new member member senior member?
Jf nilijiunga 2016 rasmi kwa id fulan1 ambayo kwa sasa siitumii kabisa ,ila hauwezi amini sijawahi kujishughulisha kujua vya hivyo zaidi ya kusoma na kuchangia pale inapobidi😁😁
 
Kwanini ulitelekeza id?
 
Back
Top Bottom