ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Kutag jina langu unafanya hivi @ ephen_ hapo kwenye @ na e unazibananisha _ hii alama ipo kwenye keyboard yako angalia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutag jina langu unafanya hivi @ ephen_ hapo kwenye @ na e unazibananisha _ hii alama ipo kwenye keyboard yako angalia
Senior tena au nishushwe kabisa😁😁Ingebidi Melo akurudishe senior member
Senior member ni chini ya expert member ila umeshajua akuache hapohapoSenior tena au nishushwe kabisa😁😁
Pia na hiyo nilikua siijuiSenior member ni chini ya expert member ila umeshajua akuache hapohapo
Ulivyojiunga jf hakuna kipindi status ilisoma new member member senior member?Pia na hiyo nilikua siijui
Jf nilijiunga 2016 rasmi kwa id fulan1 ambayo kwa sasa siitumii kabisa ,ila hauwezi amini sijawahi kujishughulisha kujua vya hivyo zaidi ya kusoma na kuchangia pale inapobidi😁😁Ulivyojiunga jf hakuna kipindi status ilisoma new member member senior member?
Kwanini ulitelekeza id?Jf nilijiunga 2016 rasmi kwa id fulan1 ambayo kwa sasa siitumii kabisa ,ila hauwezi amini sijawahi kujishughulisha kujua vya hivyo zaidi ya kusoma na kuchangia pale inapobidi😁😁
Nisahau password nikaipotezea.Kwanini ulitelekeza id?
Mimi mwenyewe nina id yangu nilijiunga 2009 nilisahau password nikaipotezeaNisahau password nikaipotezea.
😁😁😁 2009 zamani hivyo🙄Mimi mwenyewe nina id yangu nilijiunga 2009 nilisahau password nikaipotezea
Yeah😁😁😁 2009 zamani hivyo🙄
2009 nitakua nina kupa shkamoo sasaYeah
Yeah! Ndio maana mkisemaga mishangazi mimi nawaangalia tu2009 nitakua nina kupa shkamoo sasa
Hahahaha , ila yote ni sawa tu.Yeah! Ndio maana mkisemaga mishangazi mimi nawaangalia tu
Mwaka elfu mbili na tisa.rekebisha ni 2019...😅