We S.M Jipu, sio lazima uje, kwanza hatukutaki.
Dharau zako angalia zisije zikakulaza 'Peupe'
Kwanza nahs hata Kisw............!!!!!!!!!! =0%
Mkaushie mwanangu tosha kaelewa subject
Hiyo ni kwa mwanamke mtuNatamani niwepo, lakini sidhani kama nitapata ruhusa kwa hubby, kweli ukiingia kwenye ndoa ni kama umeingia jela.
Hiyo ni kwa mwanamke mtu
Tafadhali omba ruhusu da Kijino
Jamani, natamani kweli niwepo, ila ruhusa ndio tatizo, cjui nitoroke!, mmh!
Sema unaenda kwenye mkesha wa maombi...tena vazi lenyewe white lazima upewe ruhusa haraka mno!!
Hahahahaha, hyo kali, kanisani jumapili kwenda mbinde, nimwambie naenda kwenye mkesha wamaombi c itakuwa balaa
Maombi maalum ya kuliombea Taifa na ndoa....
Wewe ukiambiwa hivyo tu unatoa ruhusa!?
Natamani niwepo, lakini sidhani kama nitapata ruhusa kwa hubby, kweli ukiingia kwenye ndoa ni kama umeingia jela.
Na kweli ni kwa mwanamke, nyie wanaume mna cha kuomba ruhusa? We ukisema nafika hapo mara moja hukataliwi hata kama ni ucku, lkn kwa mwanamke mmhh!!!!
...daka hata kibajaj...Mtambuzi hii siwezi kuikosa, tena madogo wa gari wakiniletea vya kuleta nawahi room kabisa.