jamani namie nataka kuja. Tena nataka kuja na CHAI CHUNGU mon chou usikatae hii ni mahsusi wa ajili ya wana JF CC. Ni-pm contacts zako ili tuarrange mambo. ila kwa sasa nipo Brussels nikirudi next week nitakutafuta. im sure hujapata nguo nyeupe nitakuletea mon cher!
Hahahahahahahahahahahaha
NTIBA karibu sana white party!
Usisahau kabisa kuja na CHAI CHUNGU! Lakini kwa nini ulimfanyia hivyoo?
nilimfanyia nini? Ruttashobolwa
huyo hawezi kukosa....najua atataka kunikweshen!
umepata shati jeupe nikuletee? bei ni poa kabisa afu ni kwalite!!!
huyo hawezi kukosa....najua atataka kunikweshen!
umepata shati jeupe nikuletee? bei ni poa kabisa afu ni kwalite!!!
Hahahahahaha, thanx sana NTIBA mimi ninalo! Usimsahau CHAI CHUNGU kabisa!
Lakini siku zinakwenda ukalipe sasa na umlipie naniliuuuuuu............................................................................
Na mimi je?. Mia
shati jeupe!. miaSiwezi kumsahau kamwe!!! na kulipa mbona nishalipaaaa...................na wewe pia nini? figganigga
shati jeupe!. mia
Jamani kutoka Mwanza nani anaenda? ntafurahi akiwa mdada(mm ni mdada)ili tupeane kampani(NOHOMO)!
Bora umetukumbusha shosti. Ingekula kwa Mtambuzi
kampeni bado inahitajika sana, watu bado au inawezekana na huu msimu wa januari umechangia kudhoofisha kujiandikisha kila mtu yuko na kutatua suala la ada na vitu kama hivyo, but mi i hope i will join. Mtambuzi pitia hela monday hapa kijiweni mkuu.