JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!


ajira zinasumbua siku hizi dah kweri mtaji wa maskini nguvu zake mwenyewe :smile:
 
Hakuna tabu Paloma! Njoo nao utakuta nimewaandalia menu yao kisha tunaendelea!


Asprin uje unisindikize kwa Filipo na Baba V nikasuke mie! Tutakwea pipa daladala!

Yani ndo nipo busy Madame B anajaribisha kijidress cha mtoko huo..............uuuwi jamani rahaje!!! ngoja na mie nianze kutafutamo kamoja! sijui nichukue la knee length au maxi dress kabisa, au cinderela!!! mweee wanawake tuna kazi jamaniiiii............
 
Last edited by a moderator:
jamani watu wote naombamumuamin Mtambuzi. hii nawambia wale wageni wasio mjua au wanao hofia elfu mbili mbili zao kumi. watu wa dar tunamjua kwa sura, umbo na sauti hadi kwa mama ngina. so msihofu kabisa. naamin Adrian Stepp hatakua na kipindi bila shaka atatujoin. karibuni sana. mia
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mtambuzi.. Hiyo pauni ina-cover kiingilio peke yake au na Vnywaji na pili ni ruksa kuja na package ya outside.. If u knw wht I mean..
 
ajira zinasumbua siku hizi dah kweri mtaji wa maskini nguvu zake mwenyewe :smile:

We S.M Jipu, sio lazima uje, kwanza hatukutaki.
Dharau zako angalia zisije zikakulaza 'Peupe'

Kwanza nahs hata Kisw............!!!!!!!!!! =0%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…