JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!

Hahahahahaha we ulipotelea wapi?

hahahahhaaaaaaaaaa haya sichanganyi but mie ntapiga broken white banaa........ila clutch hata sitawezakuibeba nkianza kutepeta au labda Ruttashobolwa anisaidie.... amu unipelekage shopping sasa.....
 
Last edited by a moderator:
Hilo kweli neno! Kwa mfano mie nina kaka yangu ila hana ID humu Jf je? Nitamlipiaje na inaruhusiwa kwa mtu asie member kujoin
Mkuu Mtambuzi.. Hiyo pauni ina-cover kiingilio peke yake au na Vnywaji na pili ni ruksa kuja na package ya outside.. If u knw wht I mean..
 
Hii kweli si ya kukosa!!!! Sipati picha itakavyokuwa... Check ambavyo totoz za JF i.e Chit chat tutakavyotokelezeaaaaaaaa!!!!!!!!!



Kutoka kushoto amu, Paloma, Madame B, cacico na mamaaa ya Rock City charminglady!!!!!!!!!!!!!!!

Ebana eeeeeeeeeeeee.....................
Madafada ya Ukwenheeeeeee............

Hapa Chacha....

Toka Kushoto:
Yule Mwanamke aliyeinua mguu ni Arabela,
Pembeni yake ni Smile,
Yuleeeeee.....aliyetanua mikono ni Mwanyasi,
Wa chini yake ni mke mwenzangu Blaki Womani,........... Mme wangu wa pili Arushaone kazi unayo.
Yule mtoto pale kati ni mdogo wangu beibe nasty,
Kaka aliekaa chini ni Shem Filipo,
Baba aliyekaa pale juu yule mwenye tabasamu taff ni Babu DC Dark City,
Pembeni ya Babu DC ni Lily Flower,
Aliyekamata mtoto ni Preta,
Yule mtoto mchanga ni werawera,
Yule mdafada aliyenyoosha mkono huku amekamatia glasi ni KOKUTONA na yule anayeturingishia Upaja wake ni wifi marejesho........wifi una visa wewe, kaka mbona kazi anayoooo....mweeeeeee.........!!!!!!!!

Wanawasubiri watu8, PakaJimmy na CHUAKACHARA waje wawafotoe
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi;; Hapo kwenye nambari 7 ni member kweli????? Kha ha ha ha haaaa!!!!


 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…